Oa mwanamke anayekupenda!

Mapenzi pia yana expired date mkuu..
Hakuna penzi tamu kama likiwa jipya..
 
Mapenzi pia yana expired date mkuu..
Hakuna penzi tamu kama likiwa jipya..

Sasa kwa nadharia Yako hiyo ya Maoni hayo KAMA MWANAMKE HAKUPENDI Ina maana picha linaanza TU mapenzi yake KWAKO YAMESHA EXPIRE at time zero Yani picha linaanza TU steeling ameshauwawa...
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Sasa kwa nadharia Yako hiyo ya Maoni hayo KAMA MWANAMKE HAKUPENDI Ina maana picha linaanza TU mapenzi yake KWAKO YAMESHA EXPIRE at time zero Yani picha linaanza TU steeling ameshauwawa...
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

sasa kama AT DAY ONE TU hakupendi na kwa maoni Yako hayo inayosema MUDA ukienda uzeeni mapenzi YANA EXPIRE sasa kama at time zero tu HAKUPENDI at time T ...mapenzi si ndiyo yatashuka mpaka negative.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
sasa kama AT DAY ONE TU hakupendi na kwa maoni Yako hayo inayosema MUDA ukienda uzeeni mapenzi YANA EXPIRE sasa kama at time zero tu HAKUPENDI at time T ...mapenzi si ndiyo yatashuka mpaka negative.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

UZEENI ukizeeka si ndio atakuua kabisa,kama TU UKIWA KIJANA MZIMA NA NGUVU ZAKO na hakupendi..siku UKIMWA UKIUGUA UPO KITANDANI ICU ..umepoteza fahamu umepata STROKE unajisaidia kwa pampasi,unaogeshwa ,ataweza sasa kukuhudumia ..si ndio atasema ..BORA UFE TU.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Sasa kwa nadharia Yako hiyo ya Maoni hayo KAMA MWANAMKE HAKUPENDI Ina maana picha linaanza TU mapenzi yake KWAKO YAMESHA EXPIRE at time zero Yani picha linaanza TU steeling ameshauwawa...
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Mkuu hakuna mtu anaoa mwanamke hampendi,
Tatizo ni kwamba mapenzi yanamwisho,,
Elewa neno mwisho mkuu..
 
Mkuu hakuna mtu anaoa mwanamke hampendi,
Tatizo ni kwamba mapenzi yanamwisho,,
Elewa neno mwisho mkuu..

Wapo wengi wanaoa wanawake wasiowapenda hata Mimi nilishajichanganya NIKAJICHOMEKA kwa mwanamke asiyenipenda..sema NILISTUKA mapema nikagundua kuwa NILIRUKA MKOJO nikakanyaga MAVI.

So wapo wengi wanaoa WANAWAKE WASIOWAPENDA.

Hili linathibitishwa na WOMEN TALK wanawake hawana siri..unakuta anamsema mumewe..HILI LIMWANAUME SILIPENDI hata kidogo..sema ndio hivyo LINANIPA MAPESA..linanihudumia/linanigharamia sana.
Wanawake wa ZAMANI walikuwa wanawaita wanaume wasiowapenda MABUZI ya kuyachuna bila HURUMA ,mpaka damu itoke ,,kuelewa kwa KENGE APIGWE mpaka damu itoke kichwani.

OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

hii nimeithibitisha mwenyewe,CHINGANYE UONE.
 
W
Vijana wa siku hizi mmekua mayai sana mkuu………….Aina ya wanawake wa kuoa mnao wataka walikwisha acha kuzaliwa toka miaka ya 90 kwasababu wanaume tulibadilika na ku take advantage wakaona sio kweli, sasa ni mwendo wa jino kwa jino

Hueleweki anakuchana live, ukimzingua anakuzingua, ukimfurahisha anakufurahisha………….kiufupi ni kwamba utapokelewa kwa jinsi utakavyo kuja

Dunia ya sasa we tafuta hela uzipate na asilimia kubwa ya malalamiko yako kuhusu wanawake yatakwisha……….isipokua Kuchapiwa tu 😂
 
Ni sahihi lakini. Kwa situation mbili kati ya hizi ni bora niishi na anae nipenda
 

Credit kwako mkuu.

japo huu Uzi WA OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA nimeuridia nilishwahi kuleta Uzi huu huu WA OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA kipindi Cha nyuma kidogo kabala ya Uzi WAKO.

Credit kwako mkuu
 
Hata kama mwanamke ninayempenda ni MZURI kama malaika na mabawa yake anaruka juu,hata kama ana pisi Kali ya NAMNA Gani..AKISHANILETEA TU DHARAU.. KIBURI..ASIPONIHESHIMU(Yani anakwambia Mimi usinione hivi kama WEWE unaniona WA Nini WENZAKO WANAJIULIZA WATANIPATA LINI??

kwanza si jui ilikuwaje mpaka nikazaa na WEWE,si jui siku hiyo nilipatwa na Nini ,hivi ulinipataje hata sijui?

SIWEZI KUVUMILIA DHARAU kuishi na mke asiyeniheshimu hata kama moyo unampenda..AKILI itakataa..labda niwe chizi..kama Nina AKILI TIMAMU sitaweza kuvumilia.
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Penye miti mingi hapana wajenzi
You can't see what the mind doesn't know(si KILA mwenye macho anaona..Wana macho lakini hawaoni)

Wanawake wenye UPENDO WA dhati na KWELI bado wapo hawajakwisha na hawatakwisha even in the future

tumefika hapa (mfano NCHI ya THAILAND na NCHI nyingine wameshafika hapa)
Isa 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Oa mwanamke anayekupenda kweli na mwenye akili vinginevyo utabaki na unapewa upendo bila mwongozo wa maisha
 
Utamjuaje. Anaywkupenda?

Nimeona changamoto watu wengine hawana macho ya kuona na kutambua kuwa sehemu walipojichomeka kwenye hayo mahusiano wanatumika na kiuhalisia HAWAPENDWI(kwa sababu hakuna mapenzi ya jinsia hiyo)

na changamoto nyingine wengine hawana uwezo WA kutambua na kuona kuwa huyu mwanamke Fulani kuwa ANAMPENDA KWA DHATI.

So changamoto IPO kwa baadhi ya watu kushindwa KUJUA kuwa HAWAPENDWI na kushindwa KUJUA sehemu WANAPOPENDWA KWA DHATI.

mwalimu wangu PROF wa biochemistry alikuwa ananiambia I CANNOT TEACH YOU HOW TO THINK hili nalo nitaliangalia sasa NILIFUNGULIE UZI WAKE KABISA. kwa sababu ni changamoto inayowakumba wengi,nimepata comments nyingi,..watu wanashindwa KUJUA kuwa hapo alipo hapendwi na kwamba akufukuzaye HAKWAMBII UONDOKE ila anakutengenezea mazingira magumu ya kumpenda.

nitalifanyia kazi na kuja na majibu katika Uzi wake.
 
"It is not a lack of love, but a lack of friendship that makes unhappy marriage"
 
spot diagnosis --kumspot mwenye fake love --early diagnosis
 

Attachments

  • spot diagnosis.jpg
    29.1 KB · Views: 5
Kila mwanamke kuna MTU ANAYEMPENDA yeye type yake,ila si mara ZOTE anaolewa na MTU ampendaye.. anaweza akakubali kuolewa na MTU yeye asiyempenda kabisa KWA sababu ya mafanikio ili kunufaika na maslahi binafsi Fulani kadhaa WA kadha huku hisia zake moyo wake ukiwa una belong kwingine KWA mwingine ila mwili wake umeolewa na mwingine.

Wanawake wanapenda for real KWA DHATI precisely wanajua wanachokipenda hawabahatishi,akikupenda amekupenda KWELI ,kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume(EMOTIONS zipo juu KWA wanawake)

wanaume wanatamani.TAMAA Kali sana kama ya MNYAMA ubwa 🐶 kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake wanavyotamani wanaume.

Hata kwenye swala la KUPATA watoto wanawake wanajua wanayetaka kuzaa naye hata kama yupo kwenye ndoa hawabahatishi WAKO very precise..unaweza mwanaume ukalea watoto hata sio WAKO(na hii imetokea hata sio mara moja ...sidhani kama hata wanaruhusu watu kupima DNA za watoto randomly ,mana wengi wanalea watoto sio wao)

SULUHISHO UPATE MWANAMKE MWENYE HOFU YA MUNGU PIA..plus OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA this will solve a lote of issues za ndoa.

CHANZO Cha issues nyingi za ndoa hata baadhi ya wanaume kusema wanawake ni WABAYA ,ni nyoka ,hawafai,ndoa ni chungu, ni hii kupenda KWA hisia badala ya kutumia AKILI kujichomoa pale walipojichomeka MAHALI asipopendwa KWA matumaini kwamba ATAWEZA KUMBADILISHA./atabadilika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…