Nzige billioni 200!

Wameishafika Somalia na wanasafiri kwa mwendokasi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hao nzige ni sawa na balale au panzi.

Ina maana hujawahi kumuona panzi?

Panzi wanaliwa ila hao nzige hawaliwi.

Na hawang'ati lakini wakipita kwenye shamba lako utaambulia tu miti. Wanakula majani yote
Mkuu sikujua hilo.Ila nimewahi kusoma kitabu fulani kwamba kuna Nabii aliishi jangwani na chakula chake kilikuwa ni nzige na asali!Inasangaza!πŸ˜‚
 
Ooh!Si mbaya.Huwa tunakosea kusoma na hata kuangalia herufi pia.Kumbe ni "nseneneee"?Yooo...Ntikumanya!πŸ˜‚
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
 
Ni "sahihi" mkuu.Hata kilichogeuka kuwa "kama damu" kilitoa harufu yenye kukirihisha!Sad,huh!?πŸ˜‚
 
Da vince code, wewe ni code breaker? Unajitahidi kubadili uhallisia kuwa imagination zako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…