Nyuso zisizo na furaha kwa wakazi wa Dar

Acha kufuatilia sana maisha binafsi ya watu provided that wanaishi bila kuvunja za nchi.

Jifunze ku deal na maisha yako.
 
Kwani wapo?
Mbona mimi sijawahi kutembelea hiyo nyota kila siku nakumbatia mito badala ya kifua
Nije Kutafuta Demu Jf? Hapana, Halikua Lengo Langu Hilo, Sijawahi na Haitakaa Itokee Nikatafuta Mwanamke Kwenye Social Media
 
Wameambiwa waoge na pia wakitupa uchafu watadeki barabara,lazima wanune mkuu.
 
before yakuhamia kwa makonda ulikuwa unaishi wapi tulinganishe uzito wa hoja yako
Nadhani alikuwa anaishi Lamu ya Kenya huyo. Na gari kapewa hiyo ndo maana anajitangaza huku kwa Makonda. Mwambie awe na cheti chake cha kuolewa hapa dar si mchezo. Ngoja waondoke wageni uone cha moto
 
Kama hamuogagi, sana si aandae mapipa ya maji uko mjini ili awaogeshe.
 
😂😂 sio nyuuyoki tu mkuu mpaka losanjezii watu wamenuna
Kumbe sifa ya majiji watu kunywa eeeh. Sasa wengine wakinuna wanakuwa na sura mbaya hadi wanatuchekesha haaaaa, mi siwezi kununa wenye majiji yenu nuneni tu, wacha sisi tu cerebrate.😂😂😂😂
 
Sasa lakini muwe angalau mna tabasamu mna mtisha jamaa kila mtu Kanumba looooh
Tabasamu ni JPM na Bashite tu. Sasa wewe mtu kama profesa anaitwa mpumbavu tutakuwa na furaha vipi sisi tusio hata na bachelor si ndio atatuita mbwa?
 
Mimi nafikiri tatizo kubwa ni wasiojulikana watu hawana amani kwakuwa hawajui watatekwa lini na ni lini wataambiwa siyo raia
 
Kwa kifupi Dar maisha yamejaa hofu mashaka na kutokujiamini, hawajui kesho yao ni maisha mabovu hayana mfano wake.
Ni jamii ya wachache sana wenye furaha kwa dar.
Huwezi kufurahia usafiri wako kwa foleni, huwezi kufika kwa wakati uendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…