Nyumbani kwao msanii Stamina ni wapi?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Mimi swali langu ni moja tu kwenu hivi kwao na huyu msanii Stamina kwao ni wapi
zaman alikuwa akijiita Moro town siku hizi kila wimbo anajiita na kutaja Mbeya
sasa basi kwao halisi ni wap Mbeya au Moro
 
nyimbo alizotaja mbeya ni aje mwenyewe wa young kiler na billnas na huu mpwa alioimba na kale kadada ninakokapenda
 
Uliyotoka jana.

Na aje mwenyewe. Au lile neno tunaliskia vibaya sisi wazee.

Nimemsikia leo mtangazaji fulani anasema anayetajwa ni producer wa nyimbo. Sikumsikia vizuri jina alilotaja ila linasound kama Mbeya
 
Nimemsikia leo mtangazaji fulani anasema anayetajwa ni producer wa nyimbo. Sikumsikia vizuri jina alilotaja ila linasound kama Mbeya
Kumbe kuna producer wa kill-record's anaitwa bear. Ile sio mbeya.

Kibabu wa potini kaenda wapi siku hizi
 
Wasanii wengine wanamiliki tu instagram a/c naskia huyu kijana bado anakaa kwao na mchezaji wa ndondo chuo kikuu sokoine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom