Nyumbani kwangu kuna n'ge

Nyumbani kwangu kuna n'ge

Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani

Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Kamata kauze kwa wachina wanakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani

Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Nimecheka sana nyie wadada waoga sana yani hadi mende aina n'ge mnaogopa mpaka mnalia

The option is lala na mimi hawezi kukung'ta huyo mende

post using my macbook air using jamiiforums app
 
kwa nini mpaka leo huna mume,huu ushauri ilibidi umuombe mumeo
 
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani

Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
nakuja kumtoa
 
Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4

Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Matoto ya mjini wakati mwingine yanakuwaga kama mataahira fresh hivi,, nge gani mwenye kilo 1.4? Labda uchanganye na expansion joint ya nyanyako!!
 
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Faza Hauzi inza Hauzi.
Ukiulizwa hapo relationship status,
I am single and not ready to mingle, Men are are stressful. Goddammit! Pambana na LiNge lako.
 
Back
Top Bottom