PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
- Thread starter
- #21
Sawa.Choma moto nyumba hyo uhamie mji mwengine
Sawa.Choma moto nyumba hyo uhamie mji mwengine
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] amani imetoweka kabisa
Unaishi wapi nije kumuua huyo ng'e?
Bila shaka leo hutolala, ukijigusa tu unashtuka.
Mungu anusuru [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Usiombe ukamvaa na nguo alafu akung'ate ikulu utanena kwa lugha za mbinguni. Mbaya isije ikatokea upo kwenye dala dala
Wewe unadanganya kama unamuogopa ng'e kweli unawezaje kuanzisha thread JF huo muda wa kuandika si ndio atakuuma?Tafadhali sana usitake kuniharibia uzi wangu.
Mimi sina akili za kipuuzi kama zako
Nahitaji kumuua n'ge
bila shaka hufahamu vyema pita kimya.
Kwakuwa kuna mdudu niwe barafu nisiombe msaada?Wewe unadanganya kama unamuogopa ng'e kweli unawezaje kuanzisha thread JF huo muda wa kuandika si ndio atakuuma?
Dume la dar. Waoga hivyo angekua[emoji216] [emoji216] [emoji216] [emoji236]Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Changamsha genge sio??Huyu kaja kuchangamsha tu jukwaa hamna ng'e hapo halafu na nyie mlivyo wa ajabu mnajipinda kumjibu JF kuna vituko kuliko uswahilini.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sanaMungu tu ndie anafahamu hapa kojo linagonga chupi nawaza nikojolee glass maana naogopa kutoka hapa nilipo
Ya nani?Badilisha avatar ya watu kwanza af leta mrejesho kesho ukiamka mzima..
Ungelikua unajua dawa ungeliiweka wazi, porojo zinaonyesha u mtupu kichwani[emoji1]Sasa asipo kung'ata utasimulia nini kwa vizazi vijavyo wacha ung'atwe ili iwe funzo kwa wale wote wafugao viumbe visivyo na tija
Usimuue huyo. Nafanyakazi idara ya haki za wadudu, nipe address yako nije kumchukua akiwa hai.Ungelikua unajua dawa ungeliiweka wazi, porojo zinaonyesha u mtupu kichwani[emoji1]
Yaani nimecheka kwa sauti," niwe barafu""daaa pole mkuu,naamini ulifanikiwa kumuuaKwakuwa kuna mdudu niwe barafu nisiombe msaada?
N'ge yupo kwa sebule mimi kwa chumba au unadhani naishi hostel kama wewe?
ahahahahah ndio mkuu.Changamsha genge sio??