Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,318
- 7,655
ng'e gani ana kilo 1.4?Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
ng'e gani ana kilo 1.4?Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
hakuna nge mwenye kg 1.4 akienda sana ni grams 50Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Saa5 usiku kwa jirani?Umeshindwa kuomba msaada hata kwa jiran zako,Huna ubunifu kabisa ndio maana hata ......umekopi ya José kutafuta umaarufu wa haraka jf
Mwambie aende mahakamaniKumbe wewe ndo mwizi wa avatar ya comrade Jose
Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Interesting 40 elfu tu?Dah.....kuna kifaa nimebuni...nimekiita KIM23......kinatoa mitetemo isiyo na madhara kwa binadamu ila inawasumbua sana viumbe wengine hadi ukubwa wa panya au nyoka....ni wireless na kinatembea chenyewe....kina kamera na unaweza kukiendesha ukiwa nje ya nyumba.... Bei ni elfu 40 tu..... Kama utaona ghali basi kanunue petrol ya buku4 ....mwaga kwenye kochi then tia kibiriti....ng'e hatatoka salama![]()
![]()
Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
Usimuue huyo. Nafanyakazi idara ya haki za wadudu, nipe address yako nije kumchukua akiwa hai.

Wanaume wa siku hizi wanaogopa hata mende sembuse nge!!!!Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Faza Hauzi inza Hauzi.
Ukiulizwa hapo relationship status,
I am single and not ready to mingle, Men are are stressful. Goddammit! Pambana na LiNge lako.
Badooo mkuukumekucha nimefunua kochi hayupo sijui kaelekea wapi ndio nikirudi nitapuliza hit kama mdau mmoja alivyonambia.Yaani nimecheka kwa sauti," niwe barafu""daaa pole mkuu,naamini ulifanikiwa kumuua
Ukute hata nge hamjui lakini yupo hapa nayeye aonekanehakuna nge mwenye kg 1.4 akienda sana ni grams 50
lazima tulipe kodi
Ushasema anachangamsha jukwaa ,ndio tumeshachangamka na hata wewe umechangamka ndio maana ukachangia huu uzi japo wewe si wa "ajabu"Huyu kaja kuchangamsha tu jukwaa hamna ng'e hapo halafu na nyie mlivyo wa ajabu mnajipinda kumjibu JF kuna vituko kuliko uswahilini.
Huo n uzito sijui wa kuku ahahhahahahDuh nge ana kilo 1.4 huyo sasa amekuwa kenge maana hata panya wa kawaida hafiki huo uzito
The Professional
Bibie usidhani kila mtu ni mwerevu humu huyo samehe tu ,mbona unapenda kuwanyanyasa watu wenye mtindio wa akili?Tafadhali sana usitake kuniharibia uzi wangu.
Mimi sina akili za kipuuzi kama zako
Nahitaji kumuua n'ge
bila shaka hufahamu vyema pita kimya.
Upo wap mkuuDah.....kuna kifaa nimebuni...nimekiita KIM23......kinatoa mitetemo isiyo na madhara kwa binadamu ila inawasumbua sana viumbe wengine hadi ukubwa wa panya au nyoka....ni wireless na kinatembea chenyewe....kina kamera na unaweza kukiendesha ukiwa nje ya nyumba.... Bei ni elfu 40 tu..... Kama utaona ghali basi kanunue petrol ya buku4 ....mwaga kwenye kochi then tia kibiriti....ng'e hatatoka salama![]()
![]()
Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
Eee!?Wanaume wa siku hizi wanaogopa hata mende sembuse nge!!!!
Bibie usidhani kila mtu ni mwerevu humu huyo samehe tu ,mbona unapenda kuwanyanyasa watu wenye mtindio wa akili?
Tambua kuwa nao ni binadamu tujifumze ti kuishi nao humu .
Kihusu ng'e toa kochi nje be armed na zile spray za kuua wadudu fanya vurugu mshushie manyuklia baada ya muda utamkuta chali unamla mshikaki kwa hasira!
Sent using Jamii Forums mobile app