Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Ni shidaahahahahah ndio mkuu.
Sent from my iDevice using Tapatalk
Ni shidaahahahahah ndio mkuu.
Mtu mwenyewe unaogopa n'ge utaweza kweli misukosuko ya mahakamani???Mwambie aende mahakamani
Gharama za kesi nitalipia.
Ndo mnadai usawa!Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje
Nitapata wapi dawa ya kumuangamiza huyu kiumbe hata ya kupulizia tu afe maana mpaka asubuhi sijui atakuwa kahamia wapi
Nge mwenye uzito kuliko Panya?? DuhMtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
Mi pia nashangaa kweli umekosa Avatar yako binafsi mpk uchukue ya mtu aliezoeleka?? Si aweke hata avatar ya Nge basiUmeshindwa kuomba msaada hata kwa jiran zako,Huna ubunifu kabisa ndio maana hata ......umekopi ya José kutafuta umaarufu wa haraka jf
Kama ng'e mkubwa hivi hata kama ningekuwa mimi ninao cheza nao ningekimbia kwa kweli.Mtu una kilo 70 lakini unaogopa kiumbe chenye kilo 1.4
Wa Tanzania sie ni watu wa ajabu ajabu acha tuibiwe tu
nendeni mahakamani tutakutania hukoMtu mwenyewe unaogopa n'ge utaweza kweli misukosuko ya mahakamani???
Asante ndugu inapatikana maduka ganiTafuta dawa inaitwa DIAZNON changanya na maji or mafuta ya taa inauwa wadudu wote ni kali mno angalia isingie kwenye vyakula or maji ya kunywa mtaondoka na nyie
Na bado Utaashangaa mpakaMi pia nashangaa kweli umekosa Avatar yako binafsi mpk uchukue ya mtu aliezoeleka?? Si aweke hata avatar ya Nge basi

Dah kaushauri kako noma sana.Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Faza Hauzi inza Hauzi.
Ukiulizwa hapo relationship status,
I am single and not ready to mingle, Men are are stressful. Goddammit! Pambana na LiNge lako.
Asante ndugu inapatikana maduka gani
Asante sana. Mungu akubarikiTafuta kwenye maduka ya dawa za kilimo
Mkubwa au mdogo huyo nge ogopa sana nge wadogo na size ya kati wale wana sumu kali mno lakini yale ma nnge makubwa kabisa wanaleta maimivu tu .
Lingine huyo nge sio bahati mbaya kuna sehemu wanamaficho yao au nyumba yako ina wadudu wengi hasa jamii ya mende mpe kama wezi hivi awale wadudu halafu mtoe(joking)
Toa hilo kochi nje msake muulie mbali ataingia kitandami halafu akudunge sehemu sio utajutaje ,just picture nge akutafune makende au papuch au mshedede wako au mdomoni maana utashindwa hata kujieleza hospitali utageuka masoud kipanya uletewe karatasi uchore mkasa wako
Sent using Jamii Forums mobile app
umenichekeshaaa duuuhyangu usichukieNitapata ban bure wacha nikae kimya.