Nyumbani kwa JAJI Rwakibalira

Nyumbani kwa JAJI Rwakibalira

Kama alikosea kama binadamu tumsamehe. Ila kama alionea basi Mungu ampe mabalaa zaidi ili liwe somo kwa wengine.
 
Ngoja nami nitafika nyumbani kwa Mussa Mukangaa!
Tena si nyingi ngoja tu nisikie kama ana auheni angalau!

Hapa ndiyo Jf bana! Alaaaa!!
 
Ngoja nami nitafika nyumbani kwa Mussa Mukangaa!
Tena si nyingi ngoja tu nisikie kama ana auheni angalau!

Hapa ndiyo Jf bana! Alaaaa!!
Sawa kabisa mkuu liverpool usisahau kwenda na kamera kabisa ili uje na picha za kutosha!!ikibidi mwambie avue na nguo kabisa umtwange picha ili tuone ukurutu. Uliomganda mwilini,wanacheza na Mungu hawa.
 
Wewe hata ukibakwa utaleta thread hapa

Mkuu unanikosea heshima. Mimi ni mwanaume.Hakuna sheria Tanzania inayotambua kubakwa kwa mwanaume. Kwani hapo kwenye thread kuna jambo gani baya? Efatha!
 
Ngoja jua lishuke chini kidogo maana watz tunachezeana
 
Mkuu umefanya vizuri,tena na kusifiwa ukasifiwa! Wasikuvuruge hawa!
 
Wakubwa,
Jaji Rwakibarila hajapooza. Nimeongea na mtu anayeshughulikia matibabu yake muda si mrefu. Ni kweli anaumwa, lakini kwamba amepooza SIO KWELI KABISA! Very unprofessional.
 
Mkuu umefanya vizuri,tena na kusifiwa ukasifiwa! Wasikuvuruge hawa!

wananchi wa Arusha walilia sana aprili 4 ,ajue wakati anakunywa wine ,wana arusha walimshukuru Mungu ,na hilo ni onyo dogo tu kwa atakaye pindisha haki
 
Wewe si mtu makini, kama kweli ulienda kumjulia hali Jaji, kulikuwa na haja gani ya kuyaweka mazungumzo yenu hapa? Wewe ni msaliti kweli kweli.

Mh. Jaji akiona umemnukuu maneno yake namna hii nadhani atachungilia vipengele ili kukuchukulia hatua za kisheria. Lakini nadhani kwa hali unayotuonyesha hawezi akaanza kuhangaika na wewe. Hujamtendea haki. Kwa kuwa wewe ndiye mmliki wa thread hii futa.
 
Back
Top Bottom