Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Very unprofessional journalism!! Ni aibu kuwa na mwandishi wa aina yako, sababu zangu ni hizi:
a) Kama unafahamiana nae na ulikwenda kumsabahi, ungeelewa maumivu yake na ukaishia hapo tu. Kama mgonjwa ana haki ya kutotaka kufahamika kwa hali ya ugonjwa wake!!
b) Kuzungumzia kesi ya Lema ambayo ni yeye aliamua ni kosa kimaadili tu, bali ni kumchokoza. Ulitaka maoni yake ili iwe nini? Hili si swala la maoni, ni swala la facts na sheria.
Lakini ungekuwa jasiri, usingemfuata mgonjwa. Hebu waliuze akina EL, EC, JK et al. kuhusu EPA, Radar tupate kusikia "maoni" yao.
Usipokaribishwa tena kwenye nyumba ya Jaji Rwakibarila, usiseme kakuonea au ni mtu mbaya. Watu wa aina yako ndio huitwa wazandiki!!!
Kwa viwango vya ukandamizaji wa haki ya kua na kujlishwa vya CCM watawala wetu huu ni uzandiki. Mmenyamaza kimya kuhusu Mwanahalisi ili wasitumie haki yao kikatiba kutujulisha.
HII NCHI NI YETU WOTE KANDAMIZENI VYOTE NA KUJITAHIDI KUZIMA FIKRA LAKINI ZITAIBUKA NA PENGINE NA NYINYI WENYEWE KWA NGUVU NA KUUSHINDA UPUUZI HUU.