Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,313
Duhh hii noma sana
positivity [emoji4] [emoji4]Nyumba za kpanga zina vituko vingi mno na kupitia vituko hivyo tunajifunza mengi mno juu ya walimwengu na ulimwengu na labda hao jirani walikuchukulia ki-ujirani tu na wakapenda mat lako kama ungekuwa na mawili ungemwita tu huyo mwanamke badala ya kumletea niaje unampa Doormat ingine unamwambia iekeni pale mlangoni kwenu muwe mnajifutia miguu...Hakika usingepungukiwa na unachukulia ni moja ya sadaka umetoa...
Inawezekana huyo alikuwa hata demu wake... Nakumbuka clip moja nliiona mwaka 2014 jamaa anampiga nyoka mashine...isee hatari sana,heri ya hilo mimi niliwahi kukaa nyumba,mpangaji mwenzangu alikuwa anaishi na nyoka,alikuwa akikaa kwenye ngazi unamuona anakaa naye anamshika shika,akiondoka na gari yake anamuweka kwenye gari anaondoka,usiku nikiwa nimelala saa saba nikichungulia kwenye dirisha namuona amekaa nje na nyoka wake
Hata mara 3 Mkuu mbona sio kitu kikubwa chakutafuta ugonvi usio na sababu ya msingi,kumbuka kua kila mmoja wetu amelelewa tofauti kwao sasa kuna wengine wakorofi wengine wastarabu wengine wanakubali yaishe na wala kumnyamazia mtu sio kama unamuogopa au wewe ni dhaifu bali ni uungwana na kama asinge penda angelifungia ndani kwake wangepata msg...Bro fikilia mara mbili act angekuwa yeye!
Bro uwezi ukaweka ndani kwa sababu yao then kwanini walitumie hizi ni dharau bro .kwanini labda ingekuwa ndoo ya chooni lakini sio zuria bro fikilia tena nafasi bado unayoHata mara 3 Mkuu mbona sio kitu kikubwa chakutafuta ugonvi usio na sababu ya msingi,kumbuka kua kila mmoja wetu amelelewa tofauti kwao sasa kuna wengine wakorofi wengine wastarabu wengine wanakubali yaishe na wala kumnyamazia mtu sio kama unamuogopa au wewe ni dhaifu bali ni uungwana na kama asinge penda angelifungia ndani kwake wangepata msg...
niliiona mkuu tena yule alikuwa chatuInawezekana huyo alikuwa hata demu wake... Nakumbuka clip moja nliiona mwaka 2014 jamaa anampiga nyoka mashine...
Yeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani kwake siku hiyo nikadharau. Khee ! tena juzi namuona mkewe kafanya kama alivyofanya mumewe sasa nikashangaa sana nikaona bora nimwambie huyo dada nikamtafutia muda akiwa peke yake hili nimwambie ukweli kwamba sipendizewi na hiyo tabia. kheee ! baada ya kumwambia bidada .yeye na mumewe wamenichunia salamu namie hawataki
anyway kila mtu na mawazo yake na anavyochukulia vitu sawa........Bro uwezi ukaweka ndani kwa sababu yao then kwanini walitumie hizi ni dharau bro .kwanini labda ingekuwa ndoo ya chooni lakini sio zuria bro fikilia tena nafasi bado unayo
waachie hilo zuria kwa kuwawekea mlangoni kwaoYeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani kwake siku hiyo nikadharau. Khee ! tena juzi namuona mkewe kafanya kama alivyofanya mumewe sasa nikashangaa sana nikaona bora nimwambie huyo dada nikamtafutia muda akiwa peke yake hili nimwambie ukweli kwamba sipendizewi na hiyo tabia. kheee ! baada ya kumwambia bidada .yeye na mumewe wamenichunia salamu namie hawataki
Kwa nini usimweleze mwanaume mwenzio badala yake umeongea na mkewe?
Unaanzia kwenye kiini ilipoanzia!unaanzia palipoishia
Bila shaka hawana zuria.