Yeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani kwake siku hiyo nikadharau. Khee ! tena juzi namuona mkewe kafanya kama alivyofanya mumewe sasa nikashangaa sana nikaona bora nimwambie huyo dada nikamtafutia muda akiwa peke yake hili nimwambie ukweli kwamba sipendizewi na hiyo tabia. kheee ! baada ya kumwambia bidada .yeye na mumewe wamenichunia salamu namie hawataki
Uswahilini ni mwendo wa sharing is caring.Yeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani kwake siku hiyo nikadharau. Khee ! tena juzi namuona mkewe kafanya kama alivyofanya mumewe sasa nikashangaa sana nikaona bora nimwambie huyo dada nikamtafutia muda akiwa peke yake hili nimwambie ukweli kwamba sipendizewi na hiyo tabia. kheee ! baada ya kumwambia bidada .yeye na mumewe wamenichunia salamu namie hawataki
Huo sasa ukorofi kwani wakijifuta kuna tatizo gani?Hata hivyo silimetengenezwa kwa ajili hiyo na yeye sikaliweka kwa lengo hilo?Mbona unakuwa na roho mbaya kiasi hicho acha hizo bana!Duniani tunapita tu!Ha ha ha ungeingiza zuria lako ndani kimya kimya
Zuria ni mali yake sio mali ya umma wanunue LaoHuo sasa ukorofi kwani wakijifuta kuna tatizo gani?Hata hivyo silimetengenezwa kwa ajili hiyo na yeye sikaliweka kwa lengo hilo?Mbona unakuwa na roho mbaya kiasi hicho acha hizo bana!Duniani tunapita tu!
Ha ha ha ha ha hii sasa too much lolNawe ukitoka kuoga fanya pazia la mlangoni kwao taulo.
Heheheee.. Are you sure hazikua illusions? Mbona ni hatari sana hiyo..?
Haha ha...ukiogea uirudishe ulipoikuta ikiwa safi..huo ndo ustaarabu..bt ukiona hapendi just buy urs mkuu!Mi nimepanga sometimes naogea ndoo ya huyu jamaa hapa chumba cha pembeni sijui atakuwa hajisikii vizuri.. Dah.
Bora hivyo aiseeKama hukupenda ungeliingiza ndani kimya kimya
Nawe ukitoka kuoga fanya pazia la mlangoni kwao taulo. Umeeonaeeeh
Acha ujinga mie sio dada weweDada kwanza pole , pili huyo wako bora au nafuu mimi pale kinondoni niliwahi panga nyumba hiyo ikiwa na choo kimoja tu kilichojaa, so sometimes kilikua kama kinacheua hivi wakati mvua ikinyesha. sisi tulikua na mtoto mdogo anaetambaa na tulijitahidi sana kupiga deki kwenye korido na tukaweka ndala za kwendea choonoi ili mtu akitaka kwenda chooni azipitie pale kwenda na kuziacha pale kuhakikisha mwanetu anakua salama na maambukizi maan watoto wanao tambaa huokota vitu na kuweka mdomoni , wapangaji wenzetu walizoea japo kwa mbinde, ila huyu mama mwenye nyumba yeye alitupasulia kwamba tusimletee mambo ya kiislam ya kuvua viatu wakati wote na hata tulipomuelewesha kuhusu mtoto hakulielewa somo kabisa, sasa tukawa na kazi ya kumpakata mtoto wakati wote, imagine mtoto wa age hii anakua na hamu ya kucheza, ila namshukuru huyu mama maana alipa hasira ya kujenga nyumba yangu.. nilihamia kwangu wakati pakiwa bado kabisa yaani niliweka milango 3 tu na madirisha nikaziba na mabox nikahamia... so wenye nyumba kama hawa ni wazuri sana maana wanahamasisha maendeleo.. ogopa mwenye nyumba msie kaa nae, yaani anakuja maramoja kwa mwaka... huyu wa hivi huweji jenga ,maana unaona kama nyumba yako kabisa..kumbe mpagaji tu sasa siku akiiuza au kuuzwa na benki au wewe kukosa uwezo wa kuiplipia ndio utaujua utamu wake
Acha ujinga mie sio dada wewe
Dah una bahati sana mkuu.Yeye na mumewe siwaherewi ! siku moja nilimuona mumewe katoka chooni akaenda kwenye malango wa chumba changu akajifuta miguu yake kwenye zuria langu la mlangoni alivyo maliza akaenda chumbani kwake siku hiyo nikadharau. Khee ! tena juzi namuona mkewe kafanya kama alivyofanya mumewe sasa nikashangaa sana nikaona bora nimwambie huyo dada nikamtafutia muda akiwa peke yake hili nimwambie ukweli kwamba sipendizewi na hiyo tabia. kheee ! baada ya kumwambia bidada .yeye na mumewe wamenichunia salamu namie hawataki
Bado Nakupenda Eve...Ha ha ha ha ha hii sasa too much lol
AhsanteBado Nakupenda Eve...
Ahsante haitoshi,Ahsante