The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,397
- 12,981
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu
we angalia kwanza na picha yenyewe?Umbeya/wivu huo, hiyo nyumba iko wapi na nani kaithaminisha.
fredpion: argument yako ingekuwa na maana sana kama ungeeleza JK alitangaza anamali zipi zenye thamani kiasi gani! Naamini hajatangaza kuwa na hata billioni moja, hivyo kusema billioni nne watu wasiulize, sidhani kama unaelewa unachosema maana basi hata billioni moja ya Chenge isingemvua uawaziri! lets look btn the lines, we want more facts je kuna showdy deals zinamhusu Riz1 na zinaunganishwa vipi na mali ya umma au matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake?Baba yake yuko kwenye shughuli tokea kale, na mwanawe keshakuwa mtu mzima sidhani kama ni suala la yeye kazitoa wapi? labda kapewa urithi na baba yake? sidhani kama kuna mtu ambaye anapenda mwanawe aishi kupitia maisha magumu au njia uliyopitia yeye ambayo anailaumu sikuzote... tujadili mengine ya nyumba hayo unaweza kukuta hata ndio zawadi kwa kumsaidia kwenye uchaguzi kitu bwana.... MWANANGU TULIKUKURUKA NA KAMPENI MNO HEBU KAPUMZIKE UKIWA BADO MDOGO...
Wakuu, alichokileta mkuu Chomete hapa jamvini ni kweli ila kakosa baadhi ya facts. Ila ni vyema tujue;
1. Ridhwani hafanyi kazi IMMMA ameshajiuzulu rasmi, muda sasa.
2. Hivi sasa hana ajira rasmi
3. Mshahara wake IMMMA hauwezi kumsaidia kununua hata nyumba ya milioni 400
Hizi ni facts. Kuhusu location ya nyumba - iko Masaki na transaction inaonekana kuwa kweli ni bilioni 4, ila wahusika wamefanya dili hii kwa usiri mkubwa, na haiwezi kujulikana kama mkataba rasmi utaonyesha kiasi gani..
Labda museme mkuu Chomete aendelee kukusanya data si kumtukana na kumkejeli, au kusema thread ifutwe. Asanteni
du ongeza data mkuu nyumba ipo mtaa gani maana mm naona ni coters (nyumba zilizojengwa kwa mpangiliofulani tazama hiyo ya jirani kulia kwake)
halafu mandhari km Arusha au South Africa
mwaga data zaidi naenda huko sasa hivi
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu
Nakubaliana na wewe..
hio nyumba haiko Tanzania..Kwa haraka haraka itakua nje ya nchi kwenye maeneo ya baridi (sio iringa wala mbeya). Ukiangalia maezeko yake..ni kama yale yatumiwayo marekani, UK na Europe kwa ujumla..pia mbele kuna hilo post la either simu ama cable internet na kwa hapa tanzania hayo ya namna hio hatunayo. sasa sijui mleta mada katoa wapi hii picha ama alikua anataka kujifurahisha tuu..atueleze.
Ha ha ha ha aha umerifurahisha kweli Eqlypz yaani mboksi?wenzio wamechimbia "bilioni 4" we wasema mboksi>??Huyo aliyelipa bil 4 kwenye mboksi kama huo kwenye picha anatakiwa achekiwe akili.