Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

Status
Not open for further replies.
Mbona nyumba yenyewe rahisi tu...........

NYUMBA+MBOVU-1.JPG

Ebo! Ha ha ha... unaleta utani eeeh!
 
Sihitaji hata ushaihidi wa kuwa anamiliki Ntumba mtoto wa Fisadi.....
Hilo la kuuliza ananyumba wala sio swali ni jibu
 
Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao
 
Bora hii hoja tata imejifia kabla hata haijanyanyuka maana imeota kama uyoga na haina hata chembe ya ukweli!
 
Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao

Nyumba ya mikocheni milioni 400 kapata wapi? pesa zote hizo. Hukv ni juzi tu kahojiwa na waandishi wa habari na akasema ana pesa kwenye ac yake kama milioni 10 .alizopata kama ujira wake toka kwenye Firm ya IMMA.
 
Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao

Hii ya milioni 400 ndio ya kawaida?.....basi Tanzania si masikini
 
du ongeza data mkuu nyumba ipo mtaa gani maana mm naona ni coters (nyumba zilizojengwa kwa mpangiliofulani tazama hiyo ya jirani kulia kwake)
halafu mandhari km Arusha au South Africa
mwaga data zaidi naenda huko sasa hivi
 
Billioni nne unazijuwa au unazikis tu?

Jumba la billioni nne, liyakaa hivyo?

Mijitu mingine, huwa haina haya kabisaaa!
 
Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao
Mwanza, asante kwa hili, hata mimi ninayoifahamu ni pale anapoishi na ni ya kawaida sana tuu.
Kijana ni first born wa first family, kitaaluma ni mwanasheria mwenye hadhi ya wakili. Ameajiriwa kwenye reputable law firm. Hizi zote ni elements za guaranteed good life. Tatizo letu baadhi yetu humu ni hatters hivyo kila kitu kukigeuza chuki binafsi, majungu na uzushi, tunalishushia hadhi jukwaa letu hili.
Tutamshauri mode kuhakikisha ukileta uzushi unakuja na source vinginevyo thread ifutiliwe mbali
 
(24) (1) Kila mtu anayo haki ya kumiliki mali, na haki ya hifadhi ya mali yake aliyonayo kwa mujibu wa sheria.

(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977)
 
ridhiwan anakaa mikocheni B nyumba ya kawaida mayb hiyoo kahamia jana usiku,kwa hili tupotezee ishu hapa ni KATIBA na wamiliki wa DOWANS...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom