Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

Status
Not open for further replies.
Hiyo nyumba ya billion nne inakaaje?

Mkataba wake ni pamoja na RE, interior furnishing ikiwa ni pamoja na home electronic gadgets na security systems au?

Kama nilivyosema hapo awali mkuu, mkataba huu umefanyika kwa usiri mkubwa na very little details mpaka sasa hivi zinapatikana. Pia binafsi nimeona kuwa ni ishu ndogo ukilinganisha na uchafu mwingine mwingi wa hii nchi hivyo sikufuatilia. Ila nadhani wapo wengine wanaweza kupata data hizi kwa urahisi kabisa.

Ila narudia tena, tuache kusema kuwa Ridhwani alinunua nyumba hii kwa mshahara wa IMMMA maana alikuwa junior staff na mshahara wa kawaida.
Ukweli ni kuwa kama ingekuwa kueleza utajiri kautoa wapi kijana angeshindwa kutoa maelezo ya kuridhisha jinsi ambavyo mtoto wa Lowassa ameshindwa kuwaridhisha wapelelezi wa Uingereza alitoa wapi mamilioni kununua apartment huko London.
 
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg



mambo
 
Hako ndio kajumba ka million nne? Hizi hapa ni 1 million Dollar homes, roughly Shillingi 1.6 billion:



original.jpg



Sasa fananisha na huu upupu wako wa billion 4, sijui huwa mmevuta wakati wa kuweka hizi pumba za kiajabu?

2qiz778.jpg
 
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg

kwanza hizi zinaonekana ni nyumba mbili, pengine ni appartments.

Lakini kutaamini vipi ni kweli za Riziwani?
 
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg


Let us be fair....hii picha haijachukuliwa Tanzania,hii inaonekana ni apartments ...marekani nimewahi kuona neighbourgood za muundo huu...well kwa Tanzania kuna apartments zinafanana na hiii nyumba zipo kigamboni lakini zimeezekwa kwa vigae........tuseme tu kuwa mleta hoja ametumia sanaa ya picha akijarubu kutumia picha hii kuamanisha watu baada ya kukosa picha halisi za nyumba za ridhiwani zilizopo mikocheni,masaki etc.......
 
No! Hii Nyumba Haifikii thamani ya Biloni 4! nani kaithamanisha? mimi naona kama ghala la kuifadhia nafaka? sioni milango ya kuingilia! No! No! hapa sikubaliani na wewe! nafikiri tuwe wakweli.
 
Wewe Chomete, hiyo thamani ya Billioni 4 uliitolea wapi? au ulikuwa tayari ushaakolea ulivyoanzisha hii thread yako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom