Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki

mi nilivyoona mkopo unanishinda nilitafuta wateja bila kujua kama nadaiwa na bank na wateja walijitokeza wengi mwisho wa siku akajitokeza mnunuzi nikamweleza ukweli kuwa nadaiwa na bank ya kcb na akakubali nikampeleka bank akaweka pesa kwenye a/c wakakata chao zilizobaki nikadrow nikafanyia mambo yangu na hakuna matangazo wala jirani hakujua
 
Ndy umpate hyo mteja sasa

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…