Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,626
bila shaka watakuambia inshalaah basiwenyewe ukishindwa kulipa wanafanyaje?
bila shaka watakuambia inshalaah basiwenyewe ukishindwa kulipa wanafanyaje?
kkkkkkkkkkkkwanakusomea albadiri uwe kichaa
basi ngoja nikkope huko?bila shaka watakuambia inshalaah basi
SIO kirahisi ivo kuna taratibu ila ukumbuke kinachowafilisi watu ni riba kama una mtaji stable na hakuna marejesho naamini kuyumba umetaka mwenyewebasi ngoja nikkope huko?
sawabasi ngoja nikkope huko?
huko si hakuna riba?,lkn bado najuiliza ina maaana nikikopa 10m narejesha kama ilivyo?,maaana sidhani kama hilo linawezekanaSIO kirahisi ivo kuna taratibu ila ukumbuke kinachowafilisi watu ni riba kama una mtaji stable na hakuna marejesho naamini kuyumba umetaka mwenyewe
halafu namimi nashindwa kulipasawa
Ngosha,tofautisha "zaka" na na huduma za kibenki,ngosha unatuangusha.
Asikudanganye mtuunakuta mwenye nyumba hapo kabiga bonge la faida.
unajua Dar bei za nyumba ziko inflated sana. unakuta nyumba alijenga kwa 400m ila bank kaithaminisha juu kachukua labda 800m. kalipa kidogo na kuamua kudefault. hapo ni faida tupu. 400m faida. ni nadharia lakini.Asikudanganye mtu
Bank kamwe hazimsaidii mtu kihalali ...labda kama unahusika na ngada,bange,dhulma,magendo na ujambazi
Labudaunajua Dar bei za nyumba ziko inflated sana. unakuta nyumba alijenga kwa 400m ila bank kaithaminisha juu kachukua labda 800m. kalipa kidogo na kuamua kudefault. hapo ni faida tupu. 400m faida. ni nadharia lakini.