Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki

mi nilivyoona mkopo unanishinda nilitafuta wateja bila kujua kama nadaiwa na bank na wateja walijitokeza wengi mwisho wa siku akajitokeza mnunuzi nikamweleza ukweli kuwa nadaiwa na bank ya kcb na akakubali nikampeleka bank akaweka pesa kwenye a/c wakakata chao zilizobaki nikadrow nikafanyia mambo yangu na hakuna matangazo wala jirani hakujua

Mbona mimi nilijua mkuu...
 
nasikia wanaruhusiwa, ila wanashauriwa kuto kwenda kufanya biashara ambazo wao wanaziona hazifai (haram) mfano kufungua baa.
Mkuu huko hawatoi pesa, ingekuwa hivyo waislam wasingekopa mabenk mengine. Kule wanatoa vifaa tu. Kama unataka kujenga watakupa vifaa, ukitaka gari utapewa lakini pesa hutapata.
 
Kwahiyo kwa kifupi asingeweza kuuza nyumba ambayo iko kwenye dhamana ya mkopo na hati ziko bank, sijui maelezo yako ulitaka kusema nini, maana naona umekwenda na baadaye unarudi kwenye kuonyesha ugumu wa kuuza. Why wasting time mkuu!!!
Kama kuna mazingira ya kuaminiana inawezekana.
 
Tumeonywa juu ya riba ila hatukusikia.
lakini ukifuatilia biashara zote zipo katika mfumo wa riba tu.
tofauti ni kwamba biashara ni ya mali kwa pesa, papo kwa papo,

wakati riba ni pesa kwa pesa ila kwa kuvuta subira.
ila vyote vina nyongeza ya faida
 
Kwahiyo kwa kifupi asingeweza kuuza nyumba ambayo iko kwenye dhamana ya mkopo na hati ziko bank, sijui maelezo yako ulitaka kusema nini, maana naona umekwenda na baadaye unarudi kwenye kuonyesha ugumu wa kuuza. Why wasting time mkuu!!!
Zinauzika sana labda wewe hujui tu
 
Back
Top Bottom