Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
hakuna ajabu hapo,
hata yangu benki ya posta walishauza, nilipata chenji ya elfu ishirini na sita tu, wakati niliijenga kwa zaidi ya m27 na deni langu lilikuwa m12
Alitakiwa aiuze yeye mwenyewe kabla haijapigwa mnada
Tumeonywa juu ya riba ila hatukusikia.Islamic banking ndio habari ya mujini.
Angeuzaje kama tayari alishaiweka dhamana ya mkopo??Alitakiwa aiuze yeye mwenyewe kabla haijapigwa mnada
FactAngeuzaje kama tayari alishaiweka dhamana ya mkopo??
Unastahilihakuna ajabu hapo,
hata yangu benki ya posta walishauza, nilipata chenji ya elfu ishirini na sita tu, wakati niliijenga kwa zaidi ya m27 na deni langu lilikuwa m12
Inategemea na mnunuzi kama mteja ni wa uhakika, itabidi awe muelewa na akutengenezee mazingira magumu ya kukuamini, akupe pesa ukalipe deni kinacho baki, ufutie chozi, tatizo linakuja je atakupa pesa taslim hujampa hati ulizoziacha bank, hapo ndipo maelewano huitajika.Angeuzaje kama tayari alishaiweka dhamana ya mkopo??
mkuu hata sisi akina Bwana asifiwe watumishi wa Magu tunaruhusiwa kukopa?Islamic banking ndio habari ya mujini.
So sad alitakiwa amtafute mteja ili anunue bei juu ya deni na wanaenda wote bank kufuta deni na kumkabidhi mnunuzi hati. Tatizo pesa ngumu kumpata mnunuzi wa harakaharaka kwa Nyumba ya thamani kiasi hiki. Mungu MPE Neema ya kuvumilia kipindi hiki kigumu.
Islamic bank haina maana lazima uwe muisilamu mtu yoyote anaweza kufungua akaunti na kupewa huduma.mkuu hata sisi akina Bwana asifiwe watumishi wa Magu tunaruhusiwa kukopa?