Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki

mi nilivyoona mkopo unanishinda nilitafuta wateja bila kujua kama nadaiwa na bank na wateja walijitokeza wengi mwisho wa siku akajitokeza mnunuzi nikamweleza ukweli kuwa nadaiwa na bank ya kcb na akakubali nikampeleka bank akaweka pesa kwenye a/c wakakata chao zilizobaki nikadrow nikafanyia mambo yangu na hakuna matangazo wala jirani hakujua
 
Ndy umpate hyo mteja sasa

OVA
So sad alitakiwa amtafute mteja ili anunue bei juu ya deni na wanaenda wote bank kufuta deni na kumkabidhi mnunuzi hati. Tatizo pesa ngumu kumpata mnunuzi wa harakaharaka kwa Nyumba ya thamani kiasi hiki. Mungu MPE Neema ya kuvumilia kipindi hiki kigumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom