Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki


Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,629
Likes
3,563
Points
280
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,629 3,563 280
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,666
Likes
1,698
Points
280
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,666 1,698 280
aisee...
 
Safari Safi

Safari Safi

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
2,549
Likes
1,586
Points
280
Safari Safi

Safari Safi

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
2,549 1,586 280
hakuna ajabu hapo,
hata yangu benki ya posta walishauza, nilipata chenji ya elfu ishirini na sita tu, wakati niliijenga kwa zaidi ya m27 na deni langu lilikuwa m12
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,666
Likes
1,698
Points
280
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,666 1,698 280
mmbangaya

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Messages
946
Likes
1,347
Points
180
mmbangaya

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2015
946 1,347 180
Ila hatuisomi namba Wote ndio tatizo., hata Huyo aliyetaja 880m ni mtanzania pia. So kuisoma namba ni kauli ya kujifariji kwa baadhi ya watu. Ndio sababu huwa tunasema usiseme watu hawana hela ila sema Mimi sina hela
 
h120

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
2,072
Likes
1,795
Points
280
h120

h120

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
2,072 1,795 280
Angeuzaje kama tayari alishaiweka dhamana ya mkopo??
Inategemea na mnunuzi kama mteja ni wa uhakika, itabidi awe muelewa na akutengenezee mazingira magumu ya kukuamini, akupe pesa ukalipe deni kinacho baki, ufutie chozi, tatizo linakuja je atakupa pesa taslim hujampa hati ulizoziacha bank, hapo ndipo maelewano huitajika.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,821
Likes
765
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,821 765 280
mi nilivyoona mkopo unanishinda nilitafuta wateja bila kujua kama nadaiwa na bank na wateja walijitokeza wengi mwisho wa siku akajitokeza mnunuzi nikamweleza ukweli kuwa nadaiwa na bank ya kcb na akakubali nikampeleka bank akaweka pesa kwenye a/c wakakata chao zilizobaki nikadrow nikafanyia mambo yangu na hakuna matangazo wala jirani hakujua
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,126
Likes
1,567
Points
280
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,126 1,567 280
So sad alitakiwa amtafute mteja ili anunue bei juu ya deni na wanaenda wote bank kufuta deni na kumkabidhi mnunuzi hati. Tatizo pesa ngumu kumpata mnunuzi wa harakaharaka kwa Nyumba ya thamani kiasi hiki. Mungu MPE Neema ya kuvumilia kipindi hiki kigumu.
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,818
Likes
24,250
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,818 24,250 280
Ndy umpate hyo mteja sasa

OVA
So sad alitakiwa amtafute mteja ili anunue bei juu ya deni na wanaenda wote bank kufuta deni na kumkabidhi mnunuzi hati. Tatizo pesa ngumu kumpata mnunuzi wa harakaharaka kwa Nyumba ya thamani kiasi hiki. Mungu MPE Neema ya kuvumilia kipindi hiki kigumu.
 

Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,598