FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Hilo swali kamuulize mhariri wa Habari Leo(gazeti lenu)
Aliyeleta hapa hiyo mada alikuwa hajafikiria kuwa ni upuuzi aliouleta? si kila linaloandikwa kwenye magazeti ni ukweli.
Hilo swali kamuulize mhariri wa Habari Leo(gazeti lenu)
Mimi ni jirani maeneo haya na tukio hilo lina takban siku tano zilizopita, na nyumba iliyoibiwa si mama maria nyerere kamtoa mada alivyoainisha nyumba iliyoibiwa ni nyumba ya kulala shamba boy(wahudumu wa bustan) na wezi tayari wamekwisha kamatwa walikuwa marafiki wa hao shamba boy na waliwatembelea siku moja kabla ya tukio.
Kwa taarifa zaidi fatilia kituo cha polisi oysterbay
Aliyeleta hapa hiyo mada alikuwa hajafikiria kuwa ni upuuzi aliouleta? si kila linaloandikwa kwenye magazeti ni ukweli.
Duh!!Ama kweli kikwete aliposema urais ni mambo binafsi hakukosea,wizi mpaka kwa baba wa taifa??lol
Mpaka aondoke madarakani tutaibiwa mpaka korodani zote tukiwa tumelala!!!kha!!
Mjumbe hauwawi dada yangu!
Mbona habari za CHADEMA huwa unashabikia bila kuhoji?!
wewe ukilala funga mlango wako vizuri kama kuna mhuni atakuingilia. Si kila jambo ni kulaumu serikali ht mtu akijisaidia bila kuchamba mtasema serikali
Du kwa kweli ni aibu jumba kama hilo tena la hayati baba wa taifa wezi wanaingia na wanaiba,ni hatari.
Tunachohitaji kujua hii nyumba kulikuwa na walinzi wanaolipwa na serikali kwa kazi hiyo, tunachojiuliza je huduma hii ya ulinzi imefutwa baada ya Kikwete kuchukua madaraka?
Wewe unapokuja na maneno yako ya dhihaka huo ni ujinga jitahidi kutumia akili
Sijashabikia hata siku moja kuwa atoke Rais chadema, hilo sahau. Tunaloshabikia chadema ni kuwaponda tu, kwa uzinzi uliokithiri huko, ya kiongozi kupora mke wa mtu, ya kiongozi kumzalisha nje ya ndoa mbunge wake wa viti maalum (Joisi) na kwenda nae kula raha Dubai wakati ana mke na watoto ambao kawaacha nyumbani.
Hutosikia mwana CCM akishabikia eti Rais atatoka chadema. Hizo ni ndoto za alinacha kwa sasa.
Kwa ufupi wewe ni Mwehu!!!!!!
Tuwalaani majambazi kwa nguvu zote.[/QUOT