Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Mimi ni jirani maeneo haya na tukio hilo lina takban siku tano zilizopita, na nyumba iliyoibiwa si mama maria nyerere kamtoa mada alivyoainisha nyumba iliyoibiwa ni nyumba ya kulala shamba boy(wahudumu wa bustan) na wezi tayari wamekwisha kamatwa walikuwa marafiki wa hao shamba boy na waliwatembelea siku moja kabla ya tukio.

Kwa taarifa zaidi fatilia kituo cha polisi oysterbay
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hivi hatuwezi kukodisha Rais kama tunavyokodisha KOCHA WA MPIRA?
. Cha muhimu hapo ni kubnafsisha kama migodi na mashirika ya uma siunaona maendeleo?. Ss kama wazalendo wameshindwa si wapewe wachina hilo jeshi la polisi
 
Walioiba Simu ya Balozi Ikulu ndiyo hao hao waliovamia huko kwa Mwalim.

hivi nyie watu mnategemea ulinzi kwa watu waliokuwa wanatafuta pembe za ndovu kwenye nyeti za watu! Mnachekesha sana.Igp kaibiwa,Ikulu baloz kaibiwa mnategemea nn kwa baba wa Taifa?
 
Katika hali ya kushangaza,nyumba ya baba wa Taifa,mwalimu Nyerere, iliyoko huko Msasani jijini Dar-es-salaam, imevamiwa usiku na inadaiwa vitu kadhaa vimeibiwa vikiwemo TV,Computer na vitu vingine.

CHANZO:Habari Leo.

MY TAKE:
Hivi hii si aibu kwa serikali inayotamba kumuenzi baba wa taifa?


Serikali haiwajibiki Na ulinzi Wa usalama Wa raia Na Mali zao. Tanzania Chini ya serikali ya CCM kila mtu anabeba mzigo wake!
 
Mkuu ikulu wizi upo si umesikia juzi kuna balozi kapigwa simu akiwa ikulu.


Asante mkuu kwa kutuwekea kumbukumbu sawa ,ni kawaida ya mfumo huu kutokea matukio mabaya yanayoacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Hahhhahhhahhha mi nataka wakaibe suti za Jk pale magogoni
 
Kuna defender za FFU kila siku zinaenda pale kubadirisha walinzi inaama huo ulinzi hautoshi?
 
Ulinzi ni jukumu la mwenye nyumba, Nyerere alishakufa na waliobaki wanaoishi pale ni raia kama raia mwengine yeyote. Kama tunavyoibiwa na au kujilinda sisi na kina warithi wa Nyerere akina Andrew Nyerere wanatakiwa na wao wajilinde, wasibweteke kungojea bwereree, mpaka lini?

Ulinzi na bajeti anayopewa Maria Nyerere Butiama na Msasani si mdogo na si ndogo.

Butiku ndio alipewa dhamana ya kuisimamia hii familia, tunajuwa baadhi ya wanaoishi pale wana matatizo ya vichwa, kuna uwezekano ni wao wenyewe (inside job) si rahisi mtu kutoka nje akaiba pale.

Mleta mada maana ya "kuvamiwa" unaijuwa?

Hilo swali kamuulize mhariri wa Habari Leo(gazeti lenu)
 
Ukiyashangaa ya Mwalimu Msasani utayaona ya IGP.....Mkuu wa Polisi anaibiwa itakuwa kwa Mwalimu? Au umeshasahau kuna jamaa alishaingia hadi Magogoni bila ruksa akaweza kuwapita polisi na TISS
 
Duh!!Ama kweli kikwete aliposema urais ni mambo binafsi hakukosea,wizi mpaka kwa baba wa taifa??lol
Mpaka aondoke madarakani tutaibiwa mpaka korodani zote tukiwa tumelala!!!kha!!
 
24 hours..............The King!

Yeah kama hii kitu ulikwisha itazama vizuri basi hauumizi kichwa kufikiria huenda akawa nani kafanya, maana mwizi wa kawaida hawezi kufikiria nje ya box kwa kiasi hicho, alisk maisha yake halafu atoke na computer na tv. 24 HOURS.
 
Back
Top Bottom