Tusilaumu jeshi au serikali bali tusifie vipawa vya ukwapuaji tulivyojaaliwa watanzania!...!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
suala la wewe kulala na kuacha mlango wazi af uanze kulaumu usalama ni kutokuwatendea haki
Tuwalaani majambazi kwa nguvu zote.
kuna ulinzi pale kuanzia wanapouza vibaskeli hadi getini au wameondoa?
Hivi kova anafanya kazi gani?
Hapo ninachomanisha ni siku tutasikia milango ya Ikulu imevunjwa na vitu kadha vimeibiwa.
Hivi kova anafanya kazi gani?
Du kwa kweli ni aibu jumba kama hilo tena la hayati baba wa taifa wezi wanaingia na wanaiba,ni hatari.
suala la wewe kulala na kuacha mlango wazi af uanze kulaumu usalama ni kutokuwatendea haki
labda andrew alikosa pesa za kwenda kunywea akaamua kuinywa computer.Inside job !! walondani ya nyumba wanahusika........!
Mimi nasema Wavamie tu maana huku Uswahilini tunavamiwa kila siku.
Alafu cha ajabu kipi?
Kama Ikulu yenyewe ilivamiwa watu wakaondoka na simu ya Balozi.
Ofisi ya IGP ilivamiwa watu wakaondoka na Laptop na Upanga wa Dhahabu sembuse Kwa mwalimu.
By the way wengi waliwashangaa FBI na CIA walivyokuwa wakiwasachi Mawaziri wa JK, Mulikuwa hamjuhi kuwa wengi wao ni Vibaka.
Au hamjawahi kusikia kuwa Kuna waziri fulani alikuwa Mpiga debe Standa ya Mabasi Dodoma.
24 hours..............The King!Noma sana si kuna ulinzi pale?
wewe ukilala funga mlango wako vizuri kama kuna mhuni atakuingilia. Si kila jambo ni kulaumu serikali ht mtu akijisaidia bila kuchamba mtasema serikali
mimi nasema wavamie tu maana huku uswahilini tunavamiwa kila siku.
Alafu cha ajabu kipi?
Kama ikulu yenyewe ilivamiwa watu wakaondoka na simu ya balozi.
Ofisi ya igp ilivamiwa watu wakaondoka na laptop na upanga wa dhahabu sembuse kwa mwalimu.
By the way wengi waliwashangaa fbi na cia walivyokuwa wakiwasachi mawaziri wa jk, mulikuwa hamjuhi kuwa wengi wao ni vibaka.
Au hamjawahi kusikia kuwa kuna waziri fulani alikuwa mpiga debe standa ya mabasi dodoma.