Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Naona labda kuna ulinzi wa "kichina" tu pale!

Kila utawala na zama zake bwana; mtoto wa hiari wa mwalimu nyerere kazindua kitabu chake na sifa kemkem toka kwa best kazipokea ila kwa baba yake kumevamiwa ndo kusema hana uwezo wa kuweka hata Original Komedi security? (OK security?
 
kwani hakuna ulinzi wa police pale!

nyumba kama hii haiwezi kosa ulinzi...
nyumbani+kwa+mwalimu3.jpg

nyumbani+kwa+mwalimu.jpg
 
Walioiba Simu ya Balozi Ikulu ndiyo hao hao waliovamia huko kwa Mwalim.
 
Hapo ninachomanisha ni siku tutasikia milango ya Ikulu imevunjwa na vitu kadha vimeibiwa.

Hahaaaa kwa tanzania inawezekana watu walikuja kumpiga mchanga wa macho rais akiwa ikulu wakachukua ambulance ipo siku watu watajifanya usalama wataingia na kuiba kila kitu ikulu.
 
Katika hali ya kushangaza,nyumba ya baba wa Taifa,mwalimu Nyerere, iliyoko huko Msasani jijini Dar-es-salaam, imevamiwa usiku na inadaiwa vitu kadhaa vimeibiwa vikiwemo TV,Computer na vitu vingine.

CHANZO:Habari Leo.

MY TAKE:
Hivi hii si aibu kwa serikali inayotamba kumuenzi baba wa taifa?
Last edited by Salary Slip; Today at 08:36.​

Kwani Nyerere ni Mungu hata atendewe tofauti na jamii yetu?
 
Ingependeza siku hiyo serikali lemavu iweke kwenye kumbukumbu kwa Taifa
 
watakuwa ni watu wa kundi la EL. au MEMBE.who knows!

Inaelekea wewe uko sahihi 100% kuwa iliyokuwa inatafutwa ni Computer ya marehemu baba wa taifa ili wakadadavue material ya mtihani wa 2015,TV na vitu vingine kuibiwa ni kutuzuga ili tufikiri kuwa ni wezi wa kawaida tu (K...va?) kama alivyosema kwa RIP Dr Mvungi?...au labda wezi hao wameichukua Computer wakiamini itawasaidia kuwaeleza majina ya mawaziri wapya?...

Anyway tuwasubirie watakuja wasemaji wao kutuhabarisha
 
kuna jamaa anajibaraguza sana kwenye majibu mara hawakufunga mlango,mara kuna wahujumu kutoka vyama vya siasa,mara wa tz sio waaminifu..kuwa na msimamo we mdada watu wanakusoma na utumbo wako vitu vingine sio vya kuleta upuuzi
Cc.ifweero
 
Back
Top Bottom