Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Nyumba ya Nyerere Msasani yavamiwa!

Nyerere ana wajukuu zake watata kweli ; inawezekana wao ndio wamepanga hilo dili!!!
 
Kwanini ilindwe na Serikali na fedha za walipa kodi wakati aliyekuwa mtumishi wa umma ameshakufa?

Kuna Nyerere foundation ndiyo yenye majukumu ya kutunza mambo ya Nyerere na waliorithi hayo majumba ya Nyerere ndio wenye jukumu. Serikali inafanya heshima tu kutoa ulinzi na kutunza mambo ya marehemu kwa kutumia kodi zetu bila ridhaa yetu. Hakuna sheria wala kanuni inayoruhusu hayo, kama unayo sheria ilete hapa, wacha kubwabwaja.

Ulinzi upo na hapakuvamiwa kama habari inavyosema, wameibiana humo-humo ndani (inside job), ndani mule kuna mpaka wagonjwa wa akili, hujui hilo?

Nyie maboi wa mkweree mna taabu sana; yaani hujui kuwa mjane wa rais hutunzwa na serikali mpaka mwisho wa uhai wake ? Kwanini mama Maria atunzwe na Nyerere foundation wakati sheria kuhusu viongozi wastaafu iko wazi kuhusu kutunzwa kwao na wenzi wao? Chuki yenu binafsi kwa Nyerere pamoja na huyo mkweree wenu ndio inawapa hicho kijeba cha moyo.
 
Sijashabikia hata siku moja kuwa atoke Rais chadema, hilo sahau. Tunaloshabikia chadema ni kuwaponda tu, kwa uzinzi uliokithiri huko, ya kiongozi kupora mke wa mtu, ya kiongozi kumzalisha nje ya ndoa mbunge wake wa viti maalum (Joisi) na kwenda nae kula raha Dubai wakati ana mke na watoto ambao kawaacha nyumbani.

Hutosikia mwana CCM akishabikia eti Rais atatoka chadema. Hizo ni ndoto za alinacha kwa sasa.

Ukienda kwenye swala leo ukatubu kwa kusema uongo!
 
wewe ukilala funga mlango wako vizuri kama kuna mhuni atakuingilia. Si kila jambo ni kulaumu serikali ht mtu akijisaidia bila kuchamba mtasema serikali

yani wewe utakuwa mtu wa ajabu kama unatetea jambo kama hili mkuu! unataka kutuambia kuwa hakuna walinzi tenawenye mbundu? au nyumba haikaliwi?
 
Duh!!Ama kweli kikwete aliposema urais ni mambo binafsi hakukosea,wizi mpaka kwa baba wa taifa??lol
Mpaka aondoke madarakani tutaibiwa mpaka korodani zote tukiwa tumelala!!!kha!!

Teh,teh, teeeeeeeeeeeeeeeeh!
 
Katika hali ya kushangaza,nyumba ya baba wa Taifa,mwalimu Nyerere, iliyoko huko Msasani jijini Dar-es-salaam, imevamiwa usiku na inadaiwa vitu kadhaa vimeibiwa vikiwemo TV,Computer na vitu vingine.

CHANZO:Habari Leo.

MY TAKE:
Hivi hii si aibu kwa serikali inayotamba kumuenzi baba wa taifa?

Isijekuwa watoto wa mbwa mwitu wamekimblia msasani
 
Kwanini ilindwe na Serikali na fedha za walipa kodi wakati aliyekuwa mtumishi wa umma ameshakufa?

Kuna Nyerere foundation ndiyo yenye majukumu ya kutunza mambo ya Nyerere na waliorithi hayo majumba ya Nyerere ndio wenye jukumu. Serikali inafanya heshima tu kutoa ulinzi na kutunza mambo ya marehemu kwa kutumia kodi zetu bila ridhaa yetu. Hakuna sheria wala kanuni inayoruhusu hayo, kama unayo sheria ilete hapa, wacha kubwabwaja.

Ulinzi upo na hapakuvamiwa kama habari inavyosema, wameibiana humo-humo ndani (inside job), ndani mule kuna mpaka wagonjwa wa akili, hujui hilo?

Hivi hao CCM wanaokutumia nao wanasoma utumbo huo? Unajua nini kuhusu stahili za maraisi wastaafu na familia zao? Jamani saa nyingine bora kujikalia kimya. Kwani watu kama wewe Iweero, MSALANI msipochangia humu hamuwezi kuishi? Pumba zenu zinachosha na kukinaisha.
 
suala la wewe kulala na kuacha mlango wazi af uanze kulaumu usalama ni kutokuwatendea haki
WEE KICHENCHED SEMA HIVI, SWALA LA ASKARI KULALA NA KUACHA LINDO LIIBIWE NI UZEMBE UNAOAKIZI JESHI LA POLISI.
pALE PANALINDWA NA JESHI LA POLISI.

kICHWA MAJI.
 
Mh. john Mnyika pamoja na Tundu Lissu ,bunge likianza muombe muongozo wa spika jambo hili lijadiliwe kwa dharura na ikibidi kamati ya bunge iundwe kuchunguza jambo hili.

Hii kitu haiwesekani aisee!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hao CCM wanaokutumia nao wanasoma utumbo huo? Unajua nini kuhusu stahili za maraisi wastaafu na familia zao? Jamani saa nyingine bora kujikalia kimya. Kwani watu kama wewe Iweero, MSALANI msipochangia humu hamuwezi kuishi? Pumba zenu zinachosha na kukinaisha.

Stahili za Marais haziruhusu Rais kuhudumiwa nyumba zaidi ya moja. Nyerere anahudumiwa Mwitongo. Msasani pia anahudumiwa kwa kuwa Serikali yetu ina utu na kuoneana haya.

Na kama kumeibiwa hapo itakuwa ni "inside job" pale Msasani kuna ulinzi saa 24.
 
Nyie maboi wa mkweree mna taabu sana; yaani hujui kuwa mjane wa rais hutunzwa na serikali mpaka mwisho wa uhai wake ? Kwanini mama Maria atunzwe na Nyerere foundation wakati sheria kuhusu viongozi wastaafu iko wazi kuhusu kutunzwa kwao na wenzi wao? Chuki yenu binafsi kwa Nyerere pamoja na huyo mkweree wenu ndio inawapa hicho kijeba cha moyo.

Mjane wa Rais anakaa Mwitongo si Msasani, huko ndio officialy kwake na hata wageni na kumbukumbu zote za Kiserikali na kitaifa hufanyiwa huko si msasani. Msasani wapo warithi wake na hawana shida yoyote. Nyerere Foundation ipo na ina mihela kedekede, muulize Butiku anafanya nini na yeye ndiye mwenye dhamana ya kuitunza familia ya Nyerere na yeye ndie msimamizi wa mirathi za Nyerere, maana kuna watoto wengine wa Nyerere pale ni wagonjwa wa akili na hawafai kabisa kusimamia mali alizowacha baba yao.
 
hivi hatuwezi kukodisha rais kama tunavyokodisha kocha wa mpira?

yani mimi hili ningeliunga mkono asilimia zote tena hata na mawaziri sisi tutoe wabunge tu kwasababu kwa nchi yetu naona bado haijawa na uwezo wa kutoa maraisi.
 
wewe ukilala funga mlango wako vizuri kama kuna mhuni atakuingilia. Si kila jambo ni kulaumu serikali ht mtu akijisaidia bila kuchamba mtasema serikali

Hapa inazungumziwa nyumba anayoishi mke wa aliyekuwa rais wa tanzania.
 
Mjane wa Rais anakaa Mwitongo si Msasani, huko ndio officialy kwake na hata wageni na kumbukumbu zote za Kiserikali na kitaifa hufanyiwa huko si msasani. Msasani wapo warithi wake na hawana shida yoyote. Nyerere Foundation ipo na ina mihela kedekede, muulize Butiku anafanya nini na yeye ndiye mwenye dhamana ya kuitunza familia ya Nyerere na yeye ndie msimamizi wa mirathi za Nyerere, maana kuna watoto wengine wa Nyerere pale ni wagonjwa wa akili na hawafai kabisa kusimamia mali alizowacha baba yao.

Andrew sawa ni mgonjwa na mbunge wetu wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama chenu cha magamba nae mgonjwa hafai kusimamia mali alizoacha baba yao ambazo ni nyingi tu?
 
Jamani tume iundwe ili kuchunguzaa jambo hilii
 
Andrew sawa ni mgonjwa na mbunge wetu wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama chenu cha magamba nae mgonjwa hafai kusimamia mali alizoacha baba yao ambazo ni nyingi tu?

Wangekuwa wanaweza kusimamia kwanini Butiku asimamie? Kusoma huwezi, hata picha huoni?
 
Kama kusoma huwezi wewe mburula kwasasbabu ni kipofu hiyo picha unayoisema utaionaje? Pengine vipofu wa kwenu huko magambani wanayo teknolojia inayowawezesha kuona kwani nyie kwa ushirikina si haba!!!
 
Back
Top Bottom