Nyumba ya ndoto zangu

Hapo kwenye fensi kwa mji kama Dar itabidi uweke na waya wa umeme kuzunguka fensi,maana unaweza ukakuta magari yako yote asubuhi moja yako kwenye mawe yame yamebakia body tupu...

Au ufuge jini, awe mlinzi wako, mbona easy tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakati huu wa zama za ******** bro japo ni Jambo la heri labda huyu atoke madarakani kesho ndio mambo yatakuwa mazuri labda
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kunihonga Tena!! Sasa mbona wa ubani amenipatia Kama hiyo kwa shukrani tu ya mahaba nimpayo.
Nilikuwa sijui kama huwa kuna wanawake wanachukia rushwa![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…