Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Tatizo kubwa la TZ ndio hilo. mambo yanafanyika kichinichini na maujenzi, yakisha kamilika ndio watu wanataja gharama zilizotumika, na wakati huo ni too late. watu wameshamega la kwao kwa nguvu tu.
Nchi zilzo endela kama wanaaka kujenga kitu au kufanya kitu, kitu cha kwanza wanatangaza na kuweka gharama zote baada ya hapo wananchi wanajadiliana ilikupata ufumbuzi mzuri.

Tusema hapo kama ingetangazwa na kuandika kwenye magazetikuhusu ujenzi wa hizo nyumba, na kuweka uwazi aina ya nyumba na gharama itakayogharimu, na ikiwezekana kuweka picha aina za CAD, picha hizo ni mara mmoja zinachorwa kwenye compter, basi watu wengejua ni kitu gani kinacho endelea na hizogharama ni halali au sio. Hapo isingetokea uwizi kabisa, labda huyo kandarsiachakachue kwenye cement na vifaa.

Tunaoma serekali ifanye kama hivyo, kutangaza kwanza jamboili wananchi wajue na kujadili kwanza, ingawa kuna watakao pinga lakini uwizina ufisadi utapungua sana.
Ndio navyojua mimi vitu vinafanywa kwa makadirio kwanza hili kuweza kupanga budget sio sisi kila siku uhuni tu sijui mpaka lini hawa watu waendelee kutufanya watanzania maboya.
 
From Engineering point of view,
Naomba kuelewa eneo ilikojengwa hiyo nyumba, hali ya barabara ilivyo kutoka maeneo yenye vifaa vya ujenzi hadi eneo la ujenzi, bei za vifaa vya ujenzi kwa Igunga, source of local materials kama mawe, mchanga, mbao nk zinakotoka (umbali) na zinauzwaje. Vipimo vya nyumba yenyewe n.k kisha tujue gharama za ufundi zikoje baada ya hapo ndo tumuhukumu jamaa!

Hivi wewe engineer kweli??; Na kama una uzoefu wa ujenzi hata kama materials yanatoka mbali hiyo nyumba inaweza kufika thamani hiyo kweli?? Na katika hali ya kawaida vipimo vya nyumba ya vyumba viwili vya kulala na sebule utashindwa ku estimate?? Chumba meter 3 kwa 4 na sebule ya meter 5 kwa 5 nk unashindwa ku estimate??

Wewe siyo engineer wewe na kama ni engineer basi rudi darasani! Hata kama vifaa vimetoka mbali, within the same district kwa nyumba kama hiyo kitu cha kutoka mbali sana ni mchanga tu hapo, kulingana na mazingira hayo, lakini bati, rangi, mbao, nyavu za madirisha na nondo zinapatikana kwa urahisi tu! Cement pia!.

Mafundi wa mikoani hawana bei ya kutisha! Usitusumbue hapa wewe!
 
Kazi kweli kweli... Nikitukana mods watanirudisha kwenye Ban, Napita tu...:car:
 
Hiyo ndiyo serikali ya ccm.Mshangaa hilo,mbona ni jambo dogo sana.Nchi inahujumiwa sana.Haina mwenyewe.
 
MSALANI, FaizaFoxy, Lizaboni, gsu et al. wanampongeza kikwete, hapa hawawezi tia neno. njoni mutetee miradi ya serikali, maana kila kitu cha serikali mmekuwa wasemaji wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Punguzeni umbea mzunguko wa pesa uwe mkubwa.
Ndio tatizo lenyewe linalosababisha ufisadi pull inflation kwenye nyumba kwa sababu hizi sansana dar matokeo yake sie wengine tulio wengi tunajikuta tunalipishwa kodi za ajabu mishahara yenyewe hiko wapi ya kumudu maisha kisa tu jirani kauza nyumba ya million 50 kwa millioni 100 kwa hela ya ufisadi.

Kila mtu mtaani anaanza kuamini kweli nyumba yake inathamani hiyo na kupandisha thamani areas unnecessarily matokeo yake tunapandishiwa kodi kila uchao na viwanja vinakuwa gharama kuliko gharama ya kujenga nyumba. Ufisadi unaaribu uchumi wa taifa inatosha wajameni sanasana kwenye nyumba wengi tuna-feel hizi impact.
 
Kama marehemu wanapiga kura kwamini la hiyo nyumba lisiwezekane. Serikali sikivu ya Ccm
 
Ndio tatizo lenyewe linalosababisha demand pull inflation kwenye nyumba kwa sababu hizi sansana dar matokeo yake sie wengine tulio wengi tunajikuta tunalipishwa kodi za ajabu mishahara yenyewe hiko wapi ya kumudu maisha kisa tu jirani kauza nyumba ya million 50 kwa millioni 100 kwa hela ya ufisadi.

Kila mtu mtaani anaanza kuamini kweli nyumba yake inathamani hiyo na kupandisha thamani areas unnecessarily matokeo yake tunapandishiwa kodi kila uchao na viwanja vinakuwa gharama kuliko gharama ya kujenga nyumba. Ufisadi unaaribu uchumi wa taifa inatosha wajameni sanasana kwenye nyumba wengi tuna-feel hizi impact.

If u can't beat them join them.
 
Wakuu,
Miradi ya Ujenzi katika Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, imeghubikwa na tuhuma za ufisadi, ambapo hivi karibuni imekabidhiwa nyumba ya Mwalimu yenye Vyumba viwili vya kulala na sebule, ikitajwa kugharimu sh. milioni 89, jambo ambalo limeibua utata na kumlazimu Mkuu wa Wilaya hiyo, Elibariki Kingu kuingilia kati.

Gharama ya ujenzi wa nyumba hiyo katika Shule ya Sekondari Ichana Kata ya Chabutwa ni sehemu ya Matumizi ya Milioni 219 zilizotolewa na Serikali kuu kupitia mpango wa maendeleo ya Elimu ya Sekondari[MMES] kwa ufadhili wa bank ya Dunia.

Wakuu naomba tujadili haya matumizi. Nimejaribu kuweka picha kutoka Gazeti la Tanzania daima la Leo.

attachment.php


Mia

Gharama ikizidi saaaana milion 15 tu kwa hiyo nyumba hapo ni pamoja na tiles vyumba vyote.
 
Haya ndio matatizo yetu unless we sort accountabilities issues trust will never be forged na maendeleo yatatuchukua muda mrefu sana, njia za uchumi na soko itakuwa ngumu sana kujua uhalisia wake.

Despite maendeleo ya China leo President Xi Jinping kitu cha kwanza kukikomalia ilikuwa ni basics kwa sababu hizi hizi za kipumbavu kutoka kwa watendaji wa serikari na chama chao.

China leo kuna kesi zaidi ya elfu kumi za maafisa wa serikari na zaidi ya watu 2000 wameshajiua kwa aibu ya ubadhirifu wa mali za umma, kuchukuwa rushwa na mengineo ambayo sio stahiki jamaa alishaona sasa wanaelekea kwenye epidemic and matters needed highest authority kabla aijakuwa tabia sugu.

Sisi kila siku tunalalama tu no actions 'maneno matupu ayavunji mfupa' hii mijitu imezidi kwakweli na atuwezi rekebisha chochote au maendeleo kuwafikia wengi kama utaratibu ndio huu.

Na ile Rasimu ya Katiba ambayo ingeweza japo kugusa maeneo hayo imekuwa kama mbingu na dunia.Imeshakwenda na maji na Aliyeajitahidi kuitayarisha ndiyo huyo anaoga MATUSI na DHIHAKA,tumeletewa hii ya Kuimaliza na kuuza hata miguu yetu,sina uhakika kama tumebaki nayo,maana vichwa vyetu viliishauzwa,sina uhakika wa tumbo na miguu.
 
Nyie bavicha tabu sana, yaani huto tuvisenti tu...serikali sikivu ya ccm inaboresha maisha ya waalimu kwa kutumia vijisenti vidogo tu hivyo nyie keleleeeeeeee, mnawaza kwa kutumia masaburi haki ya nani...hiyo nyumba gharama halisi ni 150ml. hapo tumebana matumizi matumizi sanaaa ndiyo zikafikia 86ml. bavicha acheni wivu wa kike...hii ndiyo serikali ya ccm, maisha bora kwa kila mdanganyika.
CC. Msalani, Simiyu, Ritz, Lizaboni, Chabruma, Faiza Fox, Laki si pesa, Lumumba B7.
 
Namwamini sana Elibariki Kingu, Mkuu wa wilaya ya Igunga, nadhani atasimamia hilo vyema.

Mkuu atafanya nini? Nani kamweka kwenye kazi hiyo? Cha kufanya ni kuiondoa ccm madarakani tu. Na hilo ni jukumu letu sote, siyo la Mkuu wa Wilaya na hasa kwa kuwa kateuliwa kuwalinda wakubwa waendelee kula!
 
If u can't beat them join them.
Or pressure for changes mzalendo wa kweli sio zile za kutafuta uongozi bila ya kujua matatizo na wala kugusia kero (usanii) kama wale ndugu zetu wenye wa "Umoja wa Kati.........
 
halafu unaweza kuta mjenzi wa hiyo nyumba ni mwanachama wa chadema halafu anasema serikali ya ccm iache ufujaji
 
Back
Top Bottom