Ligendelikabuje
Member
- Oct 21, 2014
- 37
- 32
Nyie bavicha tabu sana, yaani huto tuvisenti tu...serikali sikivu ya ccm inaboresha maisha ya waalimu kwa kutumia vijisenti vidogo tu hivyo nyie keleleeeeeeee, hiyo nyumba gharama halisi ni 150ml. hapo tumebana matumizi matumizi sanaaa ndiyo zikafikia 86ml. bavicha acheni wivu wa kike...hii ndiyo serikali ya ccm, maisha bora kwa kila mdanganyika.