Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Ni upepo tu utapita ka ile nyumba ya gavana ya mabilioni ya pesa.
Watanzania ni wasahaulifu sana.

Kweni mjengo wa aliyekuwa Spika kule Urambo ulikata Billion ngapi? acheni kushangaa kajumba ka Tsh M 89 kwani hizo ni vijisenti tu
 
Ofisi ya RAS na DAS wanapewa fungu la supervision.DAS kamchezea mchezo bosi wake hapo au ofisi ya RAS ipo nyuma ya hiyo kitu.

Sina hakika na Supervision Cost, lakini naamini uratibu wa mbio za Mwenge hufanywa na ofisi ya mkuu wa wilaya kwa hatua karibu zote.
 
Sina hakika na Supervision Cost, lakini naamini uratibu wa mbio za Mwenge hufanywa na ofisi ya mkuu wa wilaya kwa hatua karibu zote.

Mara nyingi wakijua watatembelewa na mwenge ofisi ya mkuu wa wilaya inawahusisha ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri kama kuna miradi inayoelekea kumalizwa kwa muda kabla ya ujio wa mwenge au miradi ambayo imeshakamilika hivi karibuni.Utakuta huo mradi mkurugenzi wa halmashauri aliwahakikishia ofisi ya DC mradi umeshaisha bila ofisi ya DC kuukagua kabla.
 
Kuna maswali mengi ya kuulizwa juu ya hili:-
1. Mkandarasi aliyejenga ni nani?
2. Nyumba iliyotakiwa kujengwa ilikuwa iwe ya aina gani? ni vema Ramani ikaonyeshwa
3. Je ujenzi huo ulipewa baraka na kamati ya fedha ya halmashauri(Finance)?
4. Wakati wa ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayofanywa na madiwani (CCM) hawakugundua kuwa ujenzi huo hauendani na gharama halisi zilizopitishwa katika vikao vyao?
5. Ni nani aliyeidhinisha malipo hayo huku akijua hayaringani na uhalisia wa kilichojengwa?
6. BOQ ya ujenzi huo inasemaje?
7. Je upatikanaji wa mzabuni huyo ulifuata taratibu zote?



Haya uliyoyauliza kwa Serikali hii ya CCM ni haramu kwao ukizingatia elimu kwao sio jambo muhimu hata kwa viongozi wao wanataka anaejua kusoma na kuandika tu ,wewe ukipata fursa chukua chako mapema na hakuna atakaekufunga wala kukuhoji.

CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!

Watanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!.
Zidumu fikra za mwenyekiti...wapi kina Lizabon,feizafox,Simiyu yetu na wengine wazee wa CCM dam dam.
 
Kama hawa watu wangekuwa vetted kama Kenya na wakawa huru kweli basi ujue kila kitu kingekuwa wazi zaidi,na auditor ambaye angepokea hongo basi sheria ingeelekeza nini kifanywe.Lakini auditors wenyewe wananjaa wako tayari kuuza utu wao kwa vijisenti vidogo sana.Nafuu hata huyo babu Warioba amekumbuka.
Kwa maoni yangu uzembe sidhani kama unafanyika kwa auditor tu mfumo wote ni uozo ambao inabidi ubadlishwe. Maana ya tender ni kwamba unachagua mkandarasi/mzabuni ambaye ni nafuu na mwenye kufanya kazi ya kiwango. What is the point ya kuweka mkandarasi ambae anajipangia bei si bora walimu wa shule wa simamie miradi yao ya ujenzi wenyewe.

Mkandarasi lazima aje na gharama za kufanya hiyo project na ndipo anapo pewa tender kwa sababu ya value for money. Mbele ya hapo mkandarasi pia anatakiwa kuwa na mahesabu yake ambayo yanapitia kwa accountant wao na kunakuwa na ukaguzi wa serikari mara nyingi by law hili tuakikishiwe kodi kalipa sahihi wakati ukifika.

Kwa maana hiyo hela ya serikari inakaguliwa mara mbili; imetumika vipi kutoka kwenye halmashauri na kwa mkandarasi inakaguliwa kama kweli alipewa hiyo na ailipie kodi in the end.

Isitoshe mkaguzi mkuu nchi za wenzetu akagui kila sehemu yeye pia ni verifier wa wakaguzi wadodogo wa serikari wa sector anaweza verify account anazopewa yeye mwenyewe kwa kuibuka kwa mkandarasi na akaenda halmashauri in short ni kwamba hakuna kujuana na akitegemewi chombo kimoja. Sheria imevunjwa au kuna dosari hakuna anaeangaika na mkandarasi labda mahakama lakini waziri kazi hana it is simple as that maana kama ulipewa ripoti ya ufujaji mwaka uliopita na mambo yaleyale yapo mwaka ujao what is point ya wewe kuwa na kazi mtu mzembe unaelitia hasara taifa na wengine kibao wanaelekea jela waliohusika na wizi au fraud ya aina yeyote.

Ukumbuke kulindana nako ni kwingi.Hivi anaenda kumuaudit rafiki,ndugu,kaka,dada,baba ,mama mjombo nk anafanyaje?Kama sheria haiko kali anamuomba mtu vijisenti anawalipa wenzie kitu kinatoka.Upo dada yangu hapo?
Ndipo hapa wengine tunaona kuna umuhimu wa kuweka vijana hawa jamaa wa sasa wameishiwa mawazo CAG kila mwaka anakuja na kasoro hela zilizotolewa azijaenda sawa (Halafu kazi yake ni kubwa sana), kwa wenzetu mkaguzi wa serikari kila mwaka akikuta kasoro zinazotoa mianya anaishauri na serikari tungeni sheria hizi na hizi kusudi utaratibu ulindwe na sheria na mambo yafanyike according by law. Kiongozi wa bunge sanasana waliopo kwenye kamati atakiwi kusubiri mpaka CAG alete ripoti wanaweza amua mkaguzi local alete ripoti ya shirika fulani na management ikaitwa kukaangwa au waziri wa serikari za mitaa na elimu wakaitwa pamoja kuulizwa mikakati yao ya tender za shule inakuwa liaised vipi.

In short the supervision mechanism is weak, most people are not doing their jobs plus creativity to improve is zero, unaona kwanini tunahitaji kijana si kwa sababu ana nguvu tu hapana wana mawazo mapya hawa watu na wapo more informed. Inabidi tutoke kutoka kwenye kuamini kiongozi ni kama mungu na kurudi kwenye uongozi ni dhamana na wenye majukumu ya uwajibikaji mtu anaefikiria hivyo atarekebisha tu.

Hatutosikia tena muhimbili inadaiwa mabillioni bila ya kujua sababu ni nini makosa ya management au hela iliyocholewa kama kuna wakaguzi local wanaweza toa habari haraka kujua makosa as organisation operate.
 
mpaka mafisadi waishe ndo mtakuwa ha-feel impact za ufisadi!
Mafisadi awawezi kuisha hata nchi zilizoendelea wapo na wengi wao ni viongozi kama umewahi kusikia parliamentary allowance scandal ya UK waliokuwa wakiongopa wengi ni wabunge wa vyama vyote kujichotea hela.

Kinacho hitajika ni mwanya tu kwenye system and people will exploit it sisi kwetu sio mwanya tu its more like the whole set of incisors are missing hata mende anakatiza bila ya tabu kama anataka kuingia tumboni. Tunahitaji kuziba haya mapengo jamaa wamezidi.
 
Kwa maoni yangu uzembe sidhani kama unafanyika kwa auditor tu mfumo wote ni uozo ambao inabidi ubadlishwe. Maana ya tender ni kwamba unachagua mkandarasi/mzabuni ambaye ni nafuu na mwenye kufanya kazi ya kiwango. What is the point ya kuweka mkandarasi ambae anajipangia bei si bora walimu wa shule wa simamie miradi yao ya ujenzi wenyewe.

Mkandarasi lazima aje na gharama za kufanya hiyo project na ndipo anapo pewa tender kwa sababu ya value for money. Mbele ya hapo mkandarasi pia anatakiwa kuwa na mahesabu yake ambayo yanapitia kwa accountant wao na kunakuwa na ukaguzi wa serikari mara nyingi by law hili tuakikishiwe kodi kalipa sahihi wakati ukifika.

Kwa maana hiyo hela ya serikari inakaguliwa mara mbili imetumika vipi na kwa mkandarasi inakaguliwa kama kweli alipewa hiyo na ailipie kodi in the end. Isitoshe mkaguzi mkuu nchi za wenzetu akagui kila sehemu yeye pia ni verifier wa wakaguzi wadodogo wa serikari wa sector anaweza verify account anazopewa yeye mwenyewe kwa kuibuka kwa mkandarasi sijui halmashauri in short ni kwamba hakuna kujuana na akitegemewi chombo kimoja. Sheria imevunjwa au kuna dosari hakuna anaeangaika na mkandarasi labda mahakama lakini waziri kazi hana it is simple as that na wengine kibao wanaelekea jela.

Ndipo hapa wengine tunaona kuna umuhimu wa kuweka vijana hawa jamaa wa sasa wameishiwa mawazo CAG kila mwaka anakuja na kasoro hela zilizotolewa azijaenda sawa, kwa wenzetu mkaguzi wa serikari kila mwaka akikuta kasoro zinazotoa mianya anaishauri na serikari tungeni sheria hizi na hizi kusudi utaratibu ulindwe na sheria na mambo yafanyike according by law. Kiongozi wa bunge sanasana waliopo kwenye kamati atakiwi kusubiri mpaka CAG alete ripoti wanaweza amua mkaguzi local alete ripoti ya shirika fulani na management ikaitwa kukaangwa au waziri wa serikari za mitaa na shule wakaitwa pamoja kuulizwa mikakati yao ya tender za shule inakuwa liaised vipi.

In short the supervision mechanism is weak, most people are not doing their jobs plus creativity to improve is zero, unaona kwanini tunahitaji kijana si kwa sababu ana nguvu tu hapana wana mawazo mapya hawa watu na wapo more informed. Inabidi tutoke kutoka kwenye kuamini kiongozi ni kama mungu na kurudi kwenye uongozi ni dhamana na wenye majukumu ya uwajibikaji mtu anaefikiria hivyo atarekebisha tu.

Wengi wa Internal auditors ni njaa, wakipewa vyao wanasahau hiko kitu cha value for money.Ukitaka washupalie value for money wasipewe chao hata kama mradi umekidhi value for money watakucheleweshea malipo tu wakishirikiana na idara nyingine japo umeshakusanya certificate ya malipo kutoka kwa mkandarasi mshauri (kwa ile miradi ihitajiyo mkandarasi mshauri)
 
kibogo na ROBERT MICHAEL mnajaribu kuuleta mjadala kwenye uhalisia wa mradi tajwa. Bahati mbaya michango mingi imewafunika sana humu kutokana na ushabiki...

Ndio nchi yetu ilivyo ni ushabiki tu umetujaa ndio maana wajanja wanaojua loop hole wanapiga hela kutokana na ushabiki wetu usio na tija.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wa Internal auditors ni njaa, wakipewa vyao wanasahau hiko kitu cha value for money.Ukitaka washupalie value for money wasipewe chao hata kama mradi umekidhi value for money watakucheleweshea malipo tu wakishirikiana na idara nyingine japo umeshakusanya certificate ya malipo kutoka mkandarasi mshauri.
Binafsi sielewi taratibu sahihi za ukaguzi kwa kwetu lakini kwa wenzetu ni hivi mfano tuchukulie afya serikari inapotoa hela inasema tunataka hii hela iwafikie watu kadhaa, jamaa wanarudi juu wanasema hapana kutokana na estimate za serikari na uhalisia hilo aliwezekani gharama halisi ni hizi. Serikari inarudi inasema sisi tumeona mkifanya bulk ya hivi mkaajiri watu hawa yaani ni mechanism nzima ya operation kwa mujibu wa serikari linawezekana. Sasa hapo kila halmashauri maana hospitali nyingi ziko chini ya hao wahusika inakuwa imesha elewa changamoto zake labda kama walakini ni services volume zi zidi estimation ya serikari au gharama za bidhaa, umeme zipande unexpectedly. Au wajikute idadi ya wahudumu hawatoshi.

Mbele ya hapo serikari ina regulators wake wakuangalia kiwango inachotegemea, kwa hivyo management ya kila sehemu ina pressure ya ku-deliver based on government expectations na wanajua kuna watu wakukagua kama hela imefika mbali kutokana na option walizokuwa nazo. Kazi ya external auditors ni kucheki kama hesabu hazina fraud na matumizi yako sambasamba na sheria za matumizi ya hela umma. Na hao regulators ni kuangalia kiwango kama ni value for money. Baada ya hapo serikari ndio inaamua iongoze hela au izidi kuwabana depending on results/reports of both parties; kabla ya kurudi na ku-negotiate na managment za afya.

Sisi kwetu ni shaghala baghala na hakuna sheria mahususi (kama zipo sizijui za ukaguzi wa miradi baada ya tender) leo kuna kesi nyingi za hivi watu hawajalipwa kutokana na kazi walizofanya au mahesabu yameongezwa tofauti na madai. Yote hayo ni kwa sababu ya poor management at all levels with poor supervisions tu.

Sasa wewe leo umeshafanya kazi yako bado utegemee hisani kwenye malipo ni kwa sababu ya urasimu tu na watu kujua hakuna wakuwakagua wao, na serikari inapotoa hela hakuna kipimo cha mrejesho ilimradi budget iende that is patheitc.
 
ROBERT MICHAEL, post yako 16:13 unanichokonoa kitu fulani hivi. Mimi niseme tu kwamba humu zimeja lawama tu na hakuna facts kabisa. Ngoja nizisome tu ili kubaini lilipo Taifa letu
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sielewi taratibu sahihi za ukaguzi kwa kwetu lakini kwa wenzetu ni hivi mfano tuchukulie afya serikari inapotoa hela inasema tunataka hii hela iwafikie watu kadhaa, jamaa wanarudi juu wanasema hapana kutokana na estimate za serikari na uhalisia hilo aliwezekani gharama halisi ni hizi. Serikari inarudi inasema sisi tumeona mkifanya bulk ya hivi mkaajiri watu hawa yaani ni mechanism nzima ya operation kwa mujibu wa serikari linawezekana. Sasa hapo kila halmashauri maana hospitali nyingi ziko cha hao wahusika inakuwa imesha elewa changamoto zake labda kama walakini services zi zidi estimation au gharama za bidhaa, umeme zipande. Au wajikute idadi ya wahudumu hawatoshi.

Mbele ya hapo serikari ina regulators wake wakuangalia kiwango inachotegemea, kwa hivyo management ya kila sehemu ina pressure ya ku-deliver based on government expectations na wanajua kuna watu wakukagua kama hela imefika mbali kutokana na option walizokuwa nazo. Kazi external auditors ni kucheki kama hesabu hazina fraud na matumizi yako sambasamba na matumizi ya hela umma. Na hao regulators ni kuangalia kiwango. Ndio serikari inaamua iongoze hela au izidi kuwabana depending on results/reports of both parties; halafu ndio wao wanarudi ku-negotiate na managment za afya.

Sisi kwetu ni shaghala baghala na hakuna sheria mahususi (kama zipo sizijui za ukaguzi wa miradi baada ya tender) leo kuna kesi nyingi za hivi watu hawajalipwa kutokana na kazi walizofanya au mahesabu yameongezwa tofauti na madai. Yote hayo ni kwa sababu ya poor management at all levels with poor supervisions tu.

Sasa wewe leo umeshafanya kazi yako bado utegemee hisani kwenye malipo ni kwa sababu ya urasimu tu na watu kujua hakuna wakuwakagua wao, na serikari inapotoa hela hakuna kipimo cha mrejesho ilimradi budget iende that is patheitc.

Mkuu wewe fikiria nchi hii ina ma internal auditors kila halmashauri ila hati chafu zinatolewa kwenye hizo halmashauri kila mwaka, mkaguzi mkuu akikagua kila mwaka.Ukija kwenye masuala ya ujenzi miradi mingi ya majengo na barabara haiendani na thamani ya fedha.
 
Umeisoma hiyo habari? haya uliyaona:



Kutokana na utata huo, tayari mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, ameingilia kati na kutaka malipo ya mradi huo yasitishwe huku akiagiza wataalam wa halmashauri kufanya tathmini upya kuthibitisha kama thamani ya fedha inalingana na ubora wa nyumba.

Jana, mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, alizungumza na gazeti hili na kukiri kuwaita badhi ya maofisa wa halmashauri katika ofisi yake kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa ubora wa mradi huo na fedha zilizotumika.

Alisema baada ya kuongea nao aliwaagiza kusitisha malipo kwa mkandarasi na kisha mthamini wa ujenzi wa halmashauri awasilishe taarifa yake ya kukubali jengo hilo la walimu kuwa na thamani ya sh. milioni 89.

Kwa mujibu wa Kingu, baada ya hatua hiyo wataalam mbali mbali wataenda kufanya tathmini upya kuthibitisha kama nyumba iliyojengwa ina thamani ya fedha iliyotajwa.

Huyu aliyepitisha BOQ ya fedha hizo tunamtaka ajieleze kwa kuwa jengo halilingani na thamani ya fedha iliyotajwa,” alisema Kingu.



Unataka ufafanuzi upi na hatua zipi za awali kutoka kwa akina MSALANI, FaizaFoxy, Lizaboni, gsu zaidi ya hizo?

hahahaha...
 
Wanafunzi ndivyo ada zenu zinavyopatikana. Acheni kuchonga. Mngejua mishahara ya wazazi wenu msingetamani hizo engish medium.
 
Mkuu wewe fikiria nchi hii ina ma internal auditors kila halmashauri ila hati chafu zinatolewa kwenye hizo halmashauri kila mwaka, mkaguzi mkuu akikagua kila mwaka.Ukija kwenye masuala ya ujenzi miradi mingi ya majengo na barabara haiendani na thamani ya fedha.
Internal ni only one part of checking, even external wao ni kuhakikisha tu hela imeenda sawa.

Ndio maana nakupa na njia ambazo serikari za wenzetu zinafanya tathmini kuhakikisha hela imeenda sawa na matarajio ya budget. That includes kiwango cha huduma au bidhaa inayopewa na ndio sababu kuna regulators or supervisory bodies za kuhakikisha mradi una kiwango na unafikia kipimo cha sera na una thamani ya hela.

Kwa maana hiyo kama miradi aina thamani serikari yenyewe pia aina kipimo hela iliyotolewa ililenga wapi na ndio maana itapewa less value for their money na kuruhusu ubadhirifu. Kwa maana hiyo system na management ni mbovu mno kuanzia wizarani mpaka kwenye sector za ukaguzi; si ajabu akina Kinana wanapita kukagua wenyewe na watu wanapoitwa mizigo mtetezi wao unamjua.
 
Usikute labda ina basement ya floor kama tano ivi hamuezi jua
 
Internal ni only one part of checking, even external wao ni kuhakikisha tu hela imeenda sawa.

Ndio maana nakupa na njia ambazo serikari za wenzetu zinafanya tathmini kuhakikisha hela imeenda sawa na matarajio ya budget. That includes kiwango cha huduma au bidhaa inayopewa na ndio sababu kuna regulators or supervisory bodies za kuhakikisha mradi una kiwango na unafikia kipimo cha sera na una thamani ya hela.

Kwa maana hiyo kama miradi aina thamani serikari yenyewe pia aina kipimo hela iliyotolewa ililenga wapi na ndio maana itapewa less value for their money na kuruhusu ubadhirifu. Ni kwamba system na management ni mbovu mno.

Nimekupata mkuu.
 
CC. Msalani, Simiyu, Ritz, Lizaboni, Chabruma, Faiza Fox, Laki si pesa, Lumumba B7.

Hawa si wa B7 wala Lumumba hao ni Watu wa Membe Binafsi wanalipwa Pesa zilee za Marehemu Gadafi ambazo Membe kazificha kwenye Handaki mafichoni akiogopa kuziweka Benk Maana Wajanja wanaweza wakawashitua Wa-Libya waende The H kule Uholanzi mahakama ya kimataifa kusha wakazikamata kirahisi, akaja kujilaumu baadae Maana bado hajazitumia kwa Maendeleo Jimboni kwake wala kijijini kwao hawajaonja hata cent, huku baadhi ya wana Ukoo wake wanapiga Miayo lakini Membe kabania Mapesa ya Gadafi anadonoa kidogo kidogo anawapa watu wake wamshambulie Lowasa kwenye mitandao, raha yake ni kuona Lowasa anapakaziwa kila aina ya Uzushi Ukipeleka Uongo lazima ufaidi pesa ya Gadafi hususani Uongo huo ukiwa ni juu ya Lowasa hata akina Dialo na wenzake nao wamevuna mapesa ya Gadafi baada ya kujitoa fahamu na kuanza kumpakazia Lowasa. Kwa kweli membe anaamini kupitia pesa ya Gadafi lazima awe Rais wa Tanzania ebu tafakari hiii....
 
Back
Top Bottom