Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Nyumba ya mil. 89/- yamtatiza DC

Cha juu, ten percent,mgao,Rushwa na Vioja vilivyopo kwenye kuomba Tenda hapa Nchini ndivyo chimbuko ya Haya yote, Unaweza Ukakuta nyumba imejengwa kwa million 30 tu na Mjenzi pengine kapata faida m 15 au 20 lakini Zingine amegawa cha juu lakini DC alimsahau ndio Maana kimenuka, hii Nchi watu wengi wenye dhamana huitumia Methali isemayo Kufa Kufaana yaani Pesa ya Umma inapotea bure lakini wao wananeemeka kwa kwenda mbele chezea Tenda wewee....
 
Kwa nyumba tajwa hapo juu, hata hiyo mil.38 pia nina wasiwasi kama inaweza fika...Bongo kila mtu anajilia vyake..
 
Maccm hayana hata aibu, mezi majambaz mafisadi
 
Unataka nikupe breakdown ya gharama zote kwa hicho kijumba?

huna lolote na sidhani kama unauelewa wa unachokisema! 89m/- ujenge nyumba 10 za vyumba viwili tena ya serikali!? kwanza wewe kwenye fani ya ujenzi una utaalamu gani maana inawezekana nazungumza na kilaza fulani!!
 
Ufisadi huu una mwisho wake, yani wanafunzi wanahangaika kwa kujisomesha wenyewe vyuoni, wagonjwa wanakufa hospitali kwa kukosa huduma bora za afya deni la taifa ndo usiseme kabisa alafu huku upande wa pili kuna wehu wanatafuna fedha za walalahoi,
 
Acha habari yako wewe,unapoenda kubid kuna kiasi ambacho tender evaluation team wanacho ambacho wataalamu wa halmashauri wameshakadiria kutokana na michoro ya kiuhandisi. Kwahiyo mkandarasi hata ujaze cement 50,000 bado hautavuka sum total iliyokadiriwa na hao wataalamu ambayo ni engineering evaluation , kwa hapo Igunga engineering evaluation ya huo mradi imefanywa na idara ya ujenzi ya halmashauri.
Ndg hujui unachosema kbsaaaa yaani huna idea na procurement kbs.Kila siku unasikia miradi haina viwango lakini gharama kubwa.Wewe unadhani hizo 10% zinatoka wapi?Fanya utafiti au kama hujui kaa kimya au uliza.
 
Kwa maoni yangu uzembe sidhani kama unafanyika kwa auditor tu mfumo wote ni uozo ambao inabidi ubadlishwe. Maana ya tender ni kwamba unachagua mkandarasi/mzabuni ambaye ni nafuu na mwenye kufanya kazi ya kiwango. What is the point ya kuweka mkandarasi ambae anajipangia bei si bora walimu wa shule wa simamie miradi yao ya ujenzi wenyewe.

Mkandarasi lazima aje na gharama za kufanya hiyo project na ndipo anapo pewa tender kwa sababu ya value for money. Mbele ya hapo mkandarasi pia anatakiwa kuwa na mahesabu yake ambayo yanapitia kwa accountant wao na kunakuwa na ukaguzi wa serikari mara nyingi by law hili tuakikishiwe kodi kalipa sahihi wakati ukifika.

Kwa maana hiyo hela ya serikari inakaguliwa mara mbili; imetumika vipi kutoka kwenye halmashauri na kwa mkandarasi inakaguliwa kama kweli alipewa hiyo na ailipie kodi in the end.

Isitoshe mkaguzi mkuu nchi za wenzetu akagui kila sehemu yeye pia ni verifier wa wakaguzi wadodogo wa serikari wa sector anaweza verify account anazopewa yeye mwenyewe kwa kuibuka kwa mkandarasi na akaenda halmashauri in short ni kwamba hakuna kujuana na akitegemewi chombo kimoja. Sheria imevunjwa au kuna dosari hakuna anaeangaika na mkandarasi labda mahakama lakini waziri kazi hana it is simple as that maana kama ulipewa ripoti ya ufujaji mwaka uliopita na mambo yaleyale yapo mwaka ujao what is point ya wewe kuwa na kazi mtu mzembe unaelitia hasara taifa na wengine kibao wanaelekea jela waliohusika na wizi au fraud ya aina yeyote.

Ndipo hapa wengine tunaona kuna umuhimu wa kuweka vijana hawa jamaa wa sasa wameishiwa mawazo CAG kila mwaka anakuja na kasoro hela zilizotolewa azijaenda sawa (Halafu kazi yake ni kubwa sana), kwa wenzetu mkaguzi wa serikari kila mwaka akikuta kasoro zinazotoa mianya anaishauri na serikari tungeni sheria hizi na hizi kusudi utaratibu ulindwe na sheria na mambo yafanyike according by law. Kiongozi wa bunge sanasana waliopo kwenye kamati atakiwi kusubiri mpaka CAG alete ripoti wanaweza amua mkaguzi local alete ripoti ya shirika fulani na management ikaitwa kukaangwa au waziri wa serikari za mitaa na elimu wakaitwa pamoja kuulizwa mikakati yao ya tender za shule inakuwa liaised vipi.

In short the supervision mechanism is weak, most people are not doing their jobs plus creativity to improve is zero, unaona kwanini tunahitaji kijana si kwa sababu ana nguvu tu hapana wana mawazo mapya hawa watu na wapo more informed. Inabidi tutoke kutoka kwenye kuamini kiongozi ni kama mungu na kurudi kwenye uongozi ni dhamana na wenye majukumu ya uwajibikaji mtu anaefikiria hivyo atarekebisha tu.

Hatutosikia tena muhimbili inadaiwa mabillioni bila ya kujua sababu ni nini makosa ya management au hela iliyocholewa kama kuna wakaguzi local wanaweza toa habari haraka kujua makosa as organisation operate.

Kuku-alert pia dadangu ni kuwa hata hao vijana hawaaminiki hata kidogo hasa pale wanapokuta system ni mbovu basi wenyewe tu nio tatizo.Hata huko kwa CAG wengi ni vijana sana ,kiasi kwamba unaweza kujiuliza kwa nini wanafanya wanachofanya.

Wengi wa vijana hawa wanakuwa na tamaa ya kuwa na mali kwa haraka hivyo nao siyo wa kuamini sana.Tunachohitaji ni sheria za kuwafunga mikono na miguu yao.Anapokiuka kiapo chake basi ashtakiwe kulingana na kiapo chake.Vijana hawa pia ndiyo wanaowasaidia hao mafisadi namna ya kuchota pesa kwa minajili kwamba chao nacho kipo.

Tatiso siyo ujana au uzee tatizo the whole system imeshakuwa corrupt kinachohitajika kilikuwa ni sheria kali ambayo inaainishwa kwenye Katiba ya nchi.Watawala wameliona hilo na hawawezi kujifunga minyororo wenywe ndiyo maana wametuletea walichotuletea wakisema ndicho bora sababu kinakidhi tabaka lao.
 
Ndg hujui unachosema kbsaaaa yaani huna idea na procurement kbs.Kila siku unasikia miradi haina viwango lakini gharama kubwa.Wewe unadhani hizo 10% zinatoka wapi?Fanya utafiti au kama hujui kaa kimya au uliza.

duuuuh! kazi kweli kweli!
 
Ndg hujui unachosema kbsaaaa yaani huna idea na procurement kbs.Kila siku unasikia miradi haina viwango lakini gharama kubwa.Wewe unadhani hizo 10% zinatoka wapi?Fanya utafiti au kama hujui kaa kimya au uliza.

Unapojaza BOQ kuna items nyingi, unaweza item moja ukaijaza hela kubwa kuliko uhalisia na item nyingine ukaijaza ndogo kuliko uhalisia lakini vyote kwa vyote vitakuletea ile sum total inayotakiwa (mfano hii miradi ya maji vijijini).
 
Unapojaza BOQ kuna items nyingi, unaweza item moja ukaijaza hela kubwa kuliko uhalisia na item nyingine ukaijaza ndogo kuliko uhalisia lakini vyote kwa vyote vitakuletea ile sum total inayotakiwa (mfano hii miradi ya maji vijijini).
Huko kwenye kujaza hata kama doc zipo 1000's tatizo ni DC kukuta nyumba ya 20 mil inaonesha total cost 98mil na bado mkandarasi hajamalizia kazi.
 
Back
Top Bottom