Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

No kwa bata alilozoea ndogo sana

K lyn anaishi kawaida sana.. sema mnamkuza tu..

Kweli kipindi cha mwisho alikuwa na maisha ya juu sababu mume wake alikuwa anampatia.. ila baada ya mume wake kuondoka.. k lyn karudi kuishi maisha yake kama zamani kabla hajakutana na mengi... maana ukisema mashoga zake watu wa bata kwa k lyn ni wale wale waliokuwa mashoga zake toka enzi za miss Tanzania hata mengi hajamtongoza walikuwa wanakula bata zao ndogo ndogo..
 
soma vizuri ni usd 2000= 4,600,000/TZS hiyo usd 2000 ni hela ya matumizi ya yumbani kula, wafanyakazi , na vitu vingine

kiatu tu anavaa cha million 40 Hiyo usd 2000 ndio akalishe familia yangu halafu familia yake watoto , dada yake , na Mashoga zake watakula nini kwa taarifa yako watoto wake wanasoma same school with my child (IST )mimi sio maskini mwenzio nimekuacha mbali sana
Hv ada ni kiasi gani hapo international school of Tanganyika?
 
Kwani watu wa kigoma wanaakili? zaidi ya unafk na ushirikina, ndo maana weusi kama pua za mbwa then wabayaaa, wafupiii na hawapendi kuoga
Nadhani ushirikina hupofusha akili inakuwa haifanyi kazi, ukute ndio uligeuka ukawa maradhi ya kumuondoa mzee, ningekuwa Mimi nimepata hyo fursa lazima ningejenga mjengo kwa jina langu na watu mijengo yao na biashara yangu endelevu, sasa mrembo kylin akawa amelala anaishi nyumba ya mke wa kwanza
 
Attachments

  • ABC05118-5CF8-42EC-9A1E-D6439FF40F8B.jpeg
    ABC05118-5CF8-42EC-9A1E-D6439FF40F8B.jpeg
    114.4 KB · Views: 1
Nadhani ushirikina hupofusha akili inakuwa haifanyi kazi, ukute ndio uligeuka ukawa maradhi ya kumuondoa mzee, ningekuwa Mimi nimepata hyo fursa lazima ningejenga mjengo kwa jina langu na watu mijengo yao na biashara yangu endelevu, sasa mrembo kylin akawa amelala anaishi nyumba ya mke wa kwanza

alilusha maskadi double double kwa yule mama Mercy na mzee , yule MAma kweli kyln akashinda akafariki akabaki mzee Mengi amepooza mwili mzima anasubili na yeye Bomu lake lilipuke

kylin tayali alikua ana will fake alitegemea akiwaondoa wote wawili kwa mpigi Basi atakua mwanamke tajiri Africa

waliobaki wasilale mwenzao anaangaika kwa waganga awamalize ili case iwe easy , wapambane kivyao kujiweka sawa
 
Hivi tangia Mzee afariki Jacky ameshawahi kupanda ndege akaenda hata Kenya hapo??
COVID imemzuia 😀😀😀😀 lakini ana holiday package kutoka IPP yeye na watoto business class twice a year bila MSululu wa house girls Ni yeye na twins

Kwa mzee alikua ana uwezo wa kusafiri na group lake lote na akalipa kila mtu business class
 
Aliolewa, kama mke nadhani ana haki ya kutumia mali za mumewe, that’s a law ya katiba na nature.

Mwanaume kaumbwa kumtunza na kumlisha mwanamke, hiyo ni kawaida binamu hajavunja sheria
Mbona watu wanashindwa kukubali simple and plain truth like this? Ajabu!
 
Mbona watu wanashindwa kukubali simple and plain truth like this? Ajabu!
Sasa jamani kuolewa ndio uchukue kila kitu , bora ungekua mke wa kwanza mchepuko ulielazimisha ndoa kwa Sababu ya urithi

sisi wengi na wale waPenda Haki tunaomba apate kile anachostaili kama mke lakini sio kama anavyotaka yeye achukue kile kitu hapana
 
Sasa jamani kuolewa ndio uchukue kila kitu , bora ungekua mke wa kwanza mchepuko ulielazimisha ndoa kwa Sababu ya urithi

sisi wengi na wale da Haki tunaomba apate kile anachostaili kama mke lakini sio kama anavyotaka yeye achukue kile kitu hapana
Si kuna mirathi jamani? Hawezi kujiamulia.
 
alilusha maskadi double double kwa yule mama Mercy na mzee , yule MAma kweli kyln akashinda akafariki akabaki mzee Mengi amepooza mwili mzima anasubili na yeye Bomu lake lilipuke

kylin tayali alikua ana will fake alitegemea akiwaondoa wote wawili kwa mpigi Basi atakua mwanamke tajiri Africa

waliobaki wasilale mwenzao anaangaika kwa waganga awamalize ili case iwe easy , wapambane kivyao kujiweka sawa
Hapo ndio alichemka aisee angemuacha tu huyo maza na huyo mzee waendelee kuishi sasa akiloga waliobaki na wao Kama wameshajifanyia tambiko la kichagga klyin anafikiria atafua dafu kwa mchagga kweli, duh awe makini kwa kweli maana yasije mrudi akatangulia yeye sasa vtu aviache
 
Jacky ameshazoea mafuriko huyo tangu yule mzee yupo walifurikwa hivyo hivyo anatakiwa kuhama aende kwenye nyumba nyingine yule mzee hawezi kuwa ameacha nyumba hiyo hiyo inayogeuka bwawa la samaki nyakati za mvua. Pole sana kwake ajiongeze tu ili ajiepushe kuchezea tope Kama vipi aje buza nimpe kaplot
Nyumba ziko masaki nazo mali ya ipp,labda yeye akakae nyumbani kwao
 
Hawana tofauti na waliyojenga mabondeni
Kwanza upande ule kwenye mkondo wa maji mtu wa kwanza kujenga alikuwa Azim dewji,na kisheria sehemu zote zile hazikutakiwa kujengwa wao wametumia nguvu ya pesa tu

Ova
Hiyo nyumba alinunua kwa azim akaibadilisha kua mansion
 
It might have been staged , ili alipwe na insurance ndio maana amewahi social media kutafuta huruma

Raisi tu wanaweza kutoboa somewhere Maji yaingie. Then alipwe na hivi kafulia ndio kabisa anapigia hesabu hela ya insurance
Mali ya ipp kwahiyo insuarance inalipwa iipp sio yeye
 
Back
Top Bottom