Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Mjasiriamali na mwanamitindo maarufu, ambaye pia ni mjane wa aliyekua mfanyabiashara maarufu , the late Reginald mengi , Kupitia ukurasa wake wa Instagram , ame share video inayoonyesha mafuriko jinsi yalivyoikumba nyumba yake na kusambaratisha kila kitu .

Mwanamama huyo kwa masikitiko makubwa amasema mvua hyo imeharibu baadhi ya vitu ambavyo vilikua ni kumbu kumbu muhimu ya marehem mume wake.

IMG_8134.jpg

mume wake
IMG_8135.jpg
 
Hakukuwa na ulazima wowote wa kupost mitandaoni kutujulisha kwamba amekumbwa na mafuriko, pamoja na exposure aliyonayo bado anakuwa na tabia za kishamba hivyooo

Yeye kama Staa alitaka kuwaonyesha watu kuwa hata yeye muke ya millionaire kakumbwa na maafa hayo ambayo yaliwaacha mamia ya watanzania homeless , ni kama tu alitaka kuwafariji kuwa hawako peke yao kwenye janga hilo , nadhani kafanya sahihi ukizingatia yeye ni mwanaharakati, na wasije kusema alihamisha mali za marehemu au kauza, watu wajionee live kilichomkuta, everything is calculated, hajakurupuka, si unajua tena mali za watu , wanazengo hawacheleweshi kuyazua
 
Marehemu alikuwa anajilia Pesa ya Bima kila Mafuriko yakitokea kwani hakuwa akilijua hilo? last mafuriko pengine alikuwa hajaolewa.... hiyo Nyumba hapo ilipo karibu na Msimbazi Creek marufiko ni kama kwake... akakate tu bima ubahiri... Me naona michupa ya Mvinyo tu hapo
 
Yeye kama Staa alitaka kuwaonyesha watu kuwa hata yeye muke ya millionaire kakumbwa na maafa hayo ambayo yaliwaacha mamia ya watanzania homeless , ni kama tu alitaka kuwafariji kuwa hawako peke yao kwenye janga hilo , nadhani kafanya sahihi ukizingatia yeye ni mwanaharakati, na wasije kusema alihamisha mali za marehemu au kauza, watu wajionee live kilichomkuta, everything is calculated, hajakurupuka, si unajua tena mali za watu , wanazengo hawacheleweshi kuyazua
Au ameogopa itapostiwa kinyemela maana bidada kwa kujistukia hajambo
 
Yeye kama Staa alitaka kuwaonyesha watu kuwa hata yeye muke ya millionaire kakumbwa na maafa hayo ambayo yaliwaacha mamia ya watanzania homeless , ni kama tu alitaka kuwafariji kuwa hawako peke yao kwenye janga hilo , nadhani kafanya sahihi ukizingatia yeye ni mwanaharakati, na wasije kusema alihamisha mali za marehemu au kauza, watu wajionee live kilichomkuta, everything is calculated, hajakurupuka, si unajua tena mali za watu , wanazengo hawacheleweshi kuyazua

Kama ni staa kwako usidhani kuwa kila mtu anamuona hivyo; watu wana mambo ya muhimu kufanya kuliko kumfikiria huyo mwanamke!!
Hapo wanawake mjifunze ukweli kuwa bila kuwepo mwanaume hamtoboi; alipokuwepo mwenyewe mbona hayo mafuriko hayakuingia ndani?
 
Kila mwaka yanaingia humo ila ilikuwa no kupost before tycoon death
 
Back
Top Bottom