Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

ningekuwa Mimi nimepata hyo fursa lazima ningejenga mjengo kwa jina langu na watu mijengo yao na biashara yangu endelevu,

,,ningekuwa mimi , '' lakini siyo wewe sasa, kweli life is not fair, kama tu ungekuwa wewe, yaani yaani yani we acha tu, ninge, ninge mhh yani ninge, ninge, ...
 
Mimi nimejibu jinsi ilivyo hata gari yako ukiwa umekata bima kwa jina la kampuni,ikipata ajali watalipa kampuni yao sio wewe mwenye gari ndio bima walivyo

Nimekuelewa binamu , ila mwenye kampuni c ndo k-Lynn lakin , muke ya tajir, Piga kelele kwa bosslady akee
 
Kama marehemu alimpa hisa kisheria sawa atapata mgao wake

Asimpe kivipi wakat ni mke wake na alizaa nae? Mbona watu siwaelewi Jaman , klyn is the future millionaire I’m telling you , mtoto wa watu alibahatika kwa kweli , kati ya watu wachache ulimwengun waliokota embe dodo klyn nae yumo
 
Binamu kesi iko mahakamani ngoja tuone fainali
 
Nimekuelewa binamu , ila mwenye kampuni c ndo k-Lynn lakin , muke ya tajir, Piga kelele kwa bosslady akee

Mzee Mengi had only 1% share kama za kwake binafsi, sasa hiyo 1% wakigawana Baada ya case kyln anapata nini??!🤣🤣😂🤣aludie kudanga Casino tu

Ukitoa hiyo 1% Share zilizobaki ( ni Family Trust ) zilikua under Mr Reginald Mengi and Mrs Mercy-Anna Mengi
 
Basi Sawa ni mke halali, Basi subili aje kua mwenyeketi mtendaji wa makampuni ya IPP Case ikiisha

Halafu kwa Sheria za wachaga mtoto wa mwisho wa kiume ndo mrithi wa Mali , so jacky ako kwenye Nafasi nzur , ashukru Mungu alizaa vidume kwa kweli
 
Kwa kichaga ndoa ni moja tu mtoto wa mwisho ni Abdiel for your information Boma lake linakua pale walipoishi wazazi na ndio maana pale Machame walipozikwa wazazi ni nyumbani kwa uncle Benjamin Mengi ( mtoto wa mwisho kwa kina mzee Mengi ) na Abdiel sio kwa watoto wa kyln

mrithi Ni mtoto wa kiume mkubwa watoto wa kike hawarithi uchagani

kyln na wanawe walijengewe mbali huko sio kwenye shamba la ukoo
 
Kwa kichaga ndoa ni moja tu mtoto wa mwisho ni Abdiel for your information , na ndio maana pale Machame walipozikwa wazazi ni nyumbani kwa uncle Benjamin Mengi na Abdiel sio kwa watoto wa kyln

Mengi ana watoto wanne, wawil Mapacha wa kiume, sasa unatak kusema wale twins sio wa mengi?

Kuna shoga angu had simiral case kama ya jacky na alishinda akapatiwa haki ya watoto wake
 
Unatak kusema wale twins hawana haki ya kurith mali za baba yao? Like for real binamu?, ingekua mengi alimkuta jacky na hao watoto Sawa ila ni watoto wa mifupa ya mengi , watoto wa millionaire wana haki na mali za baba yao binamu yabgu kipenz
 
Sio kwa kichaga mama yangu ndio mAana jackie amejengewa Boma lake kule kule Machame kwa sababu hatambuliki na wazee wa kimila yeye ni mke wa kimjini mjini

Watoto ni wa Mengi lakini pale sio kwao , na ndio maana jackie hawezi enda bila kuomba ruhusa ya wenye mji
 
Unatak kusema wale twins hawana haki ya kurith mali za baba yao? Like for real binamu?, ingekua mengi alimkuta jacky na hao watoto Sawa ila ni watoto wa mifupa ya mengi , watoto wa millionaire wana haki na mali za baba yao binamu yabgu kipenz

Kwa nini wasirithi? Watarithi obviously Wanachostaili sio kama alivyokua anataka mama yao kua yeye ndio apewe kila kitu
Na Mzee anajua Mila za kichaga ndio Maana akajenga kule karibu na mlima Kilimanjaro kwa ajili ya Klyn na wanae
 
Mali za kuruthi na zenyew , unakua huna amani, kuandamwa kila kukicha na familia , apo jacky anataman kuolewa na danga lake akifikiria mali inabid atulize mshono maana akiolewa tu kimbembe kinaanza
 
,,ningekuwa mimi , '' lakini siyo wewe sasa, kweli life is not fair, kama tu ungekuwa wewe, yaani yaani yani we acha tu, ninge, ninge mhh yani ninge, ninge, ...
That's why I said ningekuwa mie, wahenga walinena upele humwota asiye na kucha
 
Back
Top Bottom