Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,648
"NYUMBA YA HISTORIA" Nyumba hii ilijengwa mwaka 1949, katika Kijiji cha Nkoringa, Kata ya Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijni, Mkoa wa Kilimanjaro. Ndani yake ilikuwa na patision kuu sita "6" (1) Sehemu ya mbuzi (komburu) (2) Sehemu ya Ng'ombe (koombe) (3) Dari (Kayi) (4) Sehemu anakolala Bibi (Kondoo) (5) Sehemu wankolala wajukuu (Kirin) na (6) Eneo la mlangoni (Muungon) "Story itaendelea"
