Nyumba/office /godown za kununua au kuuza au kupangisha shamba au kiwanja DSM tuwasiliane

mamiake

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
270
332
kwa wale wanaohitaji
nyumba/office /godown ya kununua au kuuza au kupangisha
shamba au kiwanja kuuza au kununua dsm
maeneo ya posta,kigamboni,mikocheni,mbezi beach, kawe ,tegeta,ununio,bahari beach,boko,bunju,bagamoyo,kisarawe,mkuranga na sinza, naombeni tuwasiliane
huduma zetu ni nzuri sana hakuna utapeli wala uswahili.utapewa unachohitaji
karibuni sana
 
SAWA, HUJAELEZA TUWASILIANAJE, HATUTAKI PM, WEKA CONTACT WAZII MI NATAKA SHAMBA MKURANGA,
 
nahitaji apartment ya vyumba 2 au 3 bajet yangu laki tatu kwa mwezi, maeneo yote yalio karibu na lugalo
 
MBONA HUJAWEKA CONTACTS ZAKO SASA ? MIMI NINA NYUMBA YANGU KIGAMBONI NINAIUZA.IPO KARIBU NA FERY.NI MWENDO WA DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKEA KWENYE PANTON.INA VYUMBA 4 VYA KULALA,KIMOJAWAPO NI MASTER.SEBULE KUUBWA,JIKO,STORE,PUBLIC TOILET.MAJI NA UMEME YAPO.KIWANJA KINA OFFER.BEI MIL 130.MAZUNGUMZO YAPO.
 
Back
Top Bottom