Nyumba nyingi zilizobomolewa na Tetemeko huko Morocco ni za Udongo, kumbe kuna Waarabu maskini!

inawezekana eneo hilo tetemeko lilikotokea ni mji wa kale ambapo nyumba nyingi zilikua za udongo.
Hoja siyo mji wa kale, ila lile eneo inaonekana ni la watu maskini sana, kwani nyingine zilikuwa ni mpya na nyingine ujenzi ulikuwa unaendelea ila zote ni za tope. Kumbe Buguruni tunawasema bure tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Likitokea uingereza na ukaona matofali ya kuchoma utaamini nako umasikini umetopea Kama mkuranga
 
Mji uliopatwa na tetemeko ni mji wa kale wa kitalii
Kuna majengo ya zamani ambayo yako pamoja na majengo mapya kama unavyoona stone town Zanzibar, Mombassa, Kilwa na Bagamoyo
Kwa vigezo vyote vya kimaendeleo kama GDP, BOP, DFI, na HR Capital Index hatuwafikii Morocco, ila kama sehemu nyingine yoyote duniani masikini hawakosekani
 
Unaishije kweimagofu?
 
BBC na Al jazeera wameonesha Nyumba mbalimbali za Udongo zikiwa zimegeuzwa vifusi na Tetemeko la ardhi

Zamani nilidhani Nyumba za Udongo ziko Mkuranga na Bagamoyo tu kumbe hata kwa Waarabu

Mlale Unono 😃😃
Nilikuwa na rafiki yangu kutoka Morocco, ukitaka kukosana naye mwite yeye ni mwarabu. Baadhi ya maeneo ya Morocco kuna watu wanaitwa wa-berber na hawataki kabisa kuitwa waarabu.
 
BBC na Al jazeera wameonesha Nyumba mbalimbali za Udongo zikiwa zimegeuzwa vifusi na Tetemeko la ardhi

Zamani nilidhani Nyumba za Udongo ziko Mkuranga na Bagamoyo tu kumbe hata kwa Waarabu

Mlale Unono 😃😃
Picha za hizo nyumba mbali na hapo huo ni uzushi
 
Mji uliopatwa na tetemeko ni mji wa kale wa kitalii
Kuna majengo ya zamani ambayo yako pamoja na majengo mapya kama unavyoona stone town Zanzibar, Mombassa, Kilwa na Bagamoyo
Kwa vigezo vyote vya kimaendeleo kama GDP, BOP, DFI, na HR Capital Index hatuwafikii Morocco, ila kama sehemu nyingine yoyote duniani masikini hawakosekani
Miji ya kitalii hata ukitaka kubomoa nyumba ujenge ya kisasa kibali kinasumbua,.umeona lakini maeneo mengi nyumba ziko chini lakini mitaa inang'ara kwa umeme.
 
ndio, majority ya hizo nyumba ni za udongo. nawapa pole, ila sijawahi kuona mtu muongo kama mfalme wao yule aliyesema atajenga uwanja Dodoma. hana hata aibu.
Kweli kabisa. Hali ya maisha ya hizo sehemu ni aibu iliyofichwa sasa imewekwa hadharani. At least angehakikisha njia za mawasiliano kama barabara zinakuwepo. Yaani huko haufiki bila punda ma mikokoteni.
 
Back
Top Bottom