Nyumba na shule zinauzwa/kupangishwa

Povu lote hilo la nini sasa we jamaa
soma alama za nyakati. ungetoa tangazo lako ningejua namna ya kuandika. That is childish behavior. sio kila ukionacho lazima ukoment, sometimes close your eyes and do what you want to do on your page!!!
 
Huwa siruhusu ******** yeyote afanye au aseme upumbavu anaotaka ili tu afurahi. Mpuuzi kabisa. REMEMBER, IF U DO ME, I DO U. NAKUTAFUTA UNIPELEKE NILIKOTAPELI
Wewe kilaza kweli yaani niache kufanya kazi UDSM kwenye kiyoyozi niwe kama wewe wa kukauka juani ukionyesha mali wateja mali za wanaume wenzako.
Mimi nimeajiriwa na serikali pia nimeajiri kwenye biashara.
Acha udalali uchwara.

Ukibishana na ******** unakuwa ********. njoo nikupe kazi mjinga we

Timu matapeli wale wa soweto, unafikiri kila mtu tapeli. jiongeze wewe na kujigeuza. unalo hilo. Wivu ahaha!!! Kila siku napata wateja, kapande juu ukazibe, kupitia jf unachemsha.

Hujui usemalo. Unajua maana ya dalali??? au unaropoka tu??
 
2 Timotheo 3:1-5 "lakini ufahamu neno hili, ya kwa wa siku za mwisho kutakuwepo nyakati za hatari. Maana watu watakuwa ......WENYE KUTUKANA. ....
 
Dalali wangu usipende kutukana matokeo yake unachokifanya hapa ni kujikopi mwenyewe ulichokiandika halafu unajitukana nacho. Nafikiri hujui kufanya quotation. Anyway nakushauri usipende kutukana tena kwa kusingizia juu!
 
Back
Top Bottom