Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 845
- Thread starter
- #61
Hii nyumba si yangu, mm nimeweka tangazo tu humu kwahiyo iuzwe au isiuzwe mm sipati wala kupoteza chochoteUmeumbuka vibaya,
Unadhani hapa jf ni kama hamnazo kwengine......
Pambana na hali yako kaka...na utapeli wa hivyo ushakua hauna deal...so njoo na version nyingine ya utapeli.
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Sasa unavyoniita tapeli wakati hakuna nilichokutapeli huo ni upumbavu
Ukiulizwa nyumba ina tatizo gani huna la kujibu, huijui nyumba hujaiona ilipo wala hufahamu chochote unaniita mm tapeli, nikikuuliza nimekutapeli nini au nimemtapeli nani huna jibu
Jiheshimu kuwa mstaarabu