Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Hata kusoma anababaika..Sina namba inayoishia na 39
Aliekwambia una namba inayoishia 39,nani!?
Utapeli utakuua nanga wewe!
Hata kusoma anababaika..Sina namba inayoishia na 39
Acha unafki nambie saa ngapi tumechat pm nimekupa namba inayoishia 39?Hahaaa hili jamaa jizi asee, matapeli wamekua wengi sana sababu ya vyuma kukaza.
Kua mkweli na ujibu swali hili tu.
1 kama hii nyumba hutegemei chochote, mbona umekua mkali ukiambiwa uache utapeli,
Na kwann ipo huku in the first place?
Ungekaa nalo tu banda lako la tope (km hata kweli unalo)
![]()
Gari haiuzwiGari bei gan
Mm na ww yupi anayebabaika? Nani aliyesema amenitafuta kwa namba inayoishia na 39 kama sio ww?Wewe nimeshakutafuta angalia namba inayoishia 39. Tapeli wajinga wenzako.
Italipwa, hii nyumba haiuzwi uchororoniKodi...?
Chukua 40 nakulipa cash, nielewe hapoUsiwafatishe wapuuzi wachache, hii nyumba haiuzwi kwa bei hiyo wala haina tatizo lolote
Kashaumbuka huyo, anaona maluilui. Bomoabomoa tabata yeye huyohuyo auze Nyumba tabata Jf inatumika vibaya sana siku hizi nikimkumbuka na 'O'.majanga tupu wema tumeshaanza kuogopa.Mbona una majibu mabovu namna hii?
Mpuuzi mwenzio ndio aliyesema eti kanitafuta kwenye namba inayoishia na 39Hata kusoma anababaika..
Aliekwambia una namba inayoishia 39,nani!?
Utapeli utakuua nanga wewe!
Ndugu huwezi kupata kwa hela hiyo, ukiweza njoo kesho uione vzr alafu ukutane na mwenye nyumba uongee naeChukua 40 nakulipa cash, nielewe hapo
Sawa nitakujaNdugu huwezi kupata kwa hela hiyo, ukiweza njoo kesho uione vzr alafu ukutane na mwenye nyumba uongee nae
Itakuwa vzr, maana humu kila mtu anajifanya mjuajiSawa nitakuja
Namba yangu ndo inaishia 39 nimekutafuta unanipa hadithi tu. Hatapeliwi mtu hapa.Sina namba inayoishia na 39

Sijawasiliana na ww pm wala sijakupa namba yanguNamba yangu ndo inaishia 39 nimekutafuta unanipa hadithi tu. Hatapeliwi mtu hapa.![]()
We nanga tu, maana una sifa na vigezo vyote..sasa unakataa nini maana hata alichoandika jamaa hukijui na najua bado hujui ameandika nini,Mpuuzi mwenzio ndio aliyesema eti kanitafuta kwenye namba inayoishia na 39
Dogo hilo jina la nanga ndio umelisikia juzi unaniita mm nanga kama ww ulivyokuwa unaitwa huko uliposikia? Mm sio nanga wala sijawahi kuwa nanga
Wewe ustaarabu huna halafu unawafundisha wengine ustaarabuHii nyumba si yangu, mm nimeweka tangazo tu humu kwahiyo iuzwe au isiuzwe mm sipati wala kupoteza chochote
Sasa unavyoniita tapeli wakati hakuna nilichokutapeli huo ni upumbavu
Ukiulizwa nyumba ina tatizo gani huna la kujibu, huijui nyumba hujaiona ilipo wala hufahamu chochote unaniita mm tapeli, nikikuuliza nimekutapeli nini au nimemtapeli nani huna jibu
Jiheshimu kuwa mstaarabu