Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 845
- Thread starter
- #141
Sawa mm shoga, una tusi lengine?usishangae, muuzaji shoga
Sawa mm shoga, una tusi lengine?usishangae, muuzaji shoga
Naona unaandika bkwa kinyooonge,kama mwema vile....halafu Kwa heshima na taadhia ukamalizia na bonge la kitisho....Ndugu umeniita mm tapeli ukaniita mm jizi na sasa unaniita mm jambazi
Ukiacha hili tangazo la kuuza nyumba ambayo ukiipenda unaweza kuinunua ukiona hujaridhika nayo unaweza ukaacha sijawahi kuwa tapeli, mwizi wala jambazi ila kama ww una uhakika mm ni jambazi au mwizi au tapeli naomba tukutane kesho kituo chochote cha polisi nambie nitakuja
Au kama unaogopa kituoni niambie popote ulipo mm nitakuja alafu unambie wizi wangu ni upi au utapeli wangu ni upi au ujambazi wangu ni upi
Umenichafua vya kutosha naona watu wengine wameibeba kama ilivyo, lazima uthibitishe utapeli wangu ni upi ukishindwa nitajua nitakachokufanya
Na anamatusi mazito, kiasi awe shoga...maana mwanaume kamili anapataje Kua na matusi Yale..!!usishangae, muuzaji shoga
sisi wa nanjilinji siyo wajinga hivyo ila ni vizuri kuwa makini.Jf jina lingine inaitwa "home of the great thinkers"
Sasa huyu Mr jambazi aka tapeli yawezekana hata maana yake hajui..ndio maana anakuja na ujinga wa nanjilinji.
Asshole
Nyie endeleeni kupiga porojo nyumba imeshapata mtusisi wa nanjilinji siyo wajinga hivyo ila ni vizuri kuwa makini.
porojo nimepiga wapi ndugu au una tatizo gani na post yangu?Nyie endeleeni kupiga porojo nyumba imeshapata mtu
Nimeitwa tapeli, jambazi, mwizi kisa nimeweka tangazo la kuuza nyumba humuporojo nimepiga wapi ndugu au una tatizo gani na post yangu?