Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Mbona una majibu mabovu namna hii?
Kwasababu ya maswali ya kipuuzi, imeandikwa nyumba inauzwa mtu anauliza eti na beseni na gari na vyombo?

ishu ikiwa serious alafu mtu akileta upuuzi inakera sn
 
Kwanini umekasirika sasa?au ni kweli kuna kumeo pande hizo?
Hii sio biashara ya mtandaoni kama mnavyouziana viatu unaletewa popote ulipo

Hii ni nyumba, unapohitaji unakuja kuiona unaangalia mazingira yake kama ukiridhika unanunua
 
Bomoa bomoa,
Baada ya kufukuliwa kwa kaburi,muuzaji kageuka mbogo...hapa ndipo tunasema ".......changanya na zako!"
Hakuna kaburi lolote lililofukuliwa, ni mada mbili tofauti
Hizi nyumba kila siku zinajengwa na kuuzwa hii sio ya kwanza wala ya mwisho na ni moja tu ndio ilinunuliwa na mtu kutoka jf kwahiyo hampunguzi chochote
 
Msinunue hii nyumba, tabata ni majangaaaa. Narudia tena ni majanga na tusije kulaumiana humu kuna bomoa bomoa na taarifa ni kwamba vipimo vinaonyesha nyumba nyingi zitaenda na maji.
 
Hata Mawenzi kona pale kama unaenda Kimanga upande Wa kushoto ni eneo la wazi. Bondeni. Lakini pamejengwa hakuna hata pa kupumulia. Na kwa Dsm ni sehemu nyingi sana. Watu wawe makini.
 
Ndio mkuu, tushtuane tusije kuanza kujuta 75M kwa usawa huu ni parefu.
 
So kumbe ndio zileeee "Jenga uza".
Mfuko mmoja wa saruji,tofari mia moja.
Haaaaaaaaaaaaaaaa

Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
 
Msinunue hii nyumba, tabata ni majangaaaa. Narudia tena ni majanga na tusije kulaumiana humu kuna bomoa bomoa na taarifa ni kwamba vipimo vinaonyesha nyumba nyingi zitaenda na maji.
Huna hela tulia, inamaana huyu aliyejenga hii nyumba hana akili awekeze hela zake sehemu yenye majanga?
 
Hata Mawenzi kona pale kama unaenda Kimanga upande Wa kushoto ni eneo la wazi. Bondeni. Lakini pamejengwa hakuna hata pa kupumulia. Na kwa Dsm ni sehemu nyingi sana. Watu wawe makini.
Hii nyumba haipo mawenzi
 
Ndio mkuu, tushtuane tusije kuanza kujuta 75M kwa usawa huu ni parefu.
Usijifanye mjuaji, hii nyumba haina tatizo lolote na zishajengwa nyingi na kuuza

Hivi unafikiri mtu anaweza kutoa mil 75 sehemu ambayo ana mashaka nayo?

Kama unataka njoo uione alafu ucomment hapa sio ujifanye mjuaji kwa kitu husichokifahamu
 
Tuliza hasira mkuu mfanya biashara hana hasira
Wanazingua hawa jamaa,

Mtu analipia si anakuwa kajiridhisha kwa kila kitu baada ya kuiona nyumba?

Kuiona nyumba ni bure njoo uione ndio ucomment,.sasa unakuta mtu nyumba hajaiona anaandika upuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom