usinisogeze
Senior Member
- May 6, 2017
- 199
- 122
Kijana biashara ni imani, hakuna haja ya kutangaza huna uvumilivu kwenye biashara.Kwasababu ya maswali ya kipuuzi, imeandikwa nyumba inauzwa mtu anauliza eti na beseni na gari na vyombo?
ishu ikiwa serious alafu mtu akileta upuuzi inakera sn
