Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Haaaaaaaa,Namba yangu ndo inaishia 39 nimekutafuta unanipa hadithi tu. Hatapeliwi mtu hapa.![]()
Limekomalia "sina namba inaishia 39"
Haaaaaaaa,Namba yangu ndo inaishia 39 nimekutafuta unanipa hadithi tu. Hatapeliwi mtu hapa.![]()
Style za kijambaziMuuzaji mtemi balaa!kwa style unawatisha wateja
Lina mitusi kama dada,Wewe ustaarabu huna halafu unawafundisha wengine ustaarabu
Ishamshinda, muuzaji ana lugha chafu sana. Yeye anafikiri kila mtu ni zwazwa na pia hustahili kumuhoji. Yaani kwa kuwa kaleta tangazo watu waende tu kama mapompoma bila hata kuuliza swali la kujiridhisha.Mbona unakuwa mkali tena kwa wateja?
We inavyoonekana biashara itakushinda.
Wewe ndio umeanza kukashfu watu baada ya kuletewa nyuzi zako zilizopita, why upaniki? Ungewaelewesha tu bila matusi bila shaka wangekuelewa. Lakini ukaanza kupotomosha lugha chafu sasa yamekurudi unajifanya kuonewa. Wewe umeleta biashara wateja au hata kama si wateja wanna haki ya kuhoji kama hutaki wahoji usingeleta tangazo hapa. Jichunguze bro.Nimepanik sn kuitwa tapeli wakati sijamtapeli mtu
Hiyo nyumba kama unawasiwasi nayo unaacha kununua sio kukashifu watu
Kuniiita tapeli, jambazi ndio kuhoji?Ishamshinda, muuzaji ana lugha chafu sana. Yeye anafikiri kila mtu ni zwazwa na pia hustahili kumuhoji. Yaani kwa kuwa kaleta tangazo watu waende tu kama mapompoma bila hata kuuliza swali la kujiridhisha.
Hizi ni hulkabza matapeli,Ishamshinda, muuzaji ana lugha chafu sana. Yeye anafikiri kila mtu ni zwazwa na pia hustahili kumuhoji. Yaani kwa kuwa kaleta tangazo watu waende tu kama mapompoma bila hata kuuliza swali la kujiridhisha.
Nimewaelewesha hawataki kuelewa, kwani biashara kama hujaielewa si unaacha kununua tu? Sasa mtu ananiita jambazi,tapeli na jizi kisa hiyo nyumba ww unaona sawa?Wewe ndio umeanza kukashfu watu baada ya kuletewa nyuzi zako zilizopita, why upaniki? Ungewaelewesha tu bila matusi bila shaka wangekuelewa. Lakini ukaanza kupotomosha lugha chafu sasa yamekurudi unajifanya kuonewa. Wewe umeleta biashara wateja au hata kama si wateja wanna haki ya kuhoji kama hutaki wahoji usingeleta tangazo hapa. Jichunguze bro.
Kupitia : Jf Niombe kuutangazia Umma ninauza kiwanja changu kiko Igombe ,Eneo zuri ni Karibu na barabarani wenye usafiri wao wanaingia bila shida ndiko nakoishi pamepimwa Hivi Karibuni bikoni zimewekwa hati Ndio haijatoka ,wenye fedha wanaweza kuchimba bwawa wakafuga samaki ,kiwanja ni 62/78 hatua za Mtu mzima bei ni mazungumzo mwenye nia aitafute Igombe iko Ilemela Mwanza aulize kwa Alphonce A Kagezi hata ukiuliza hilo la Mwisho hata Mtoto mdago atakufikisha bila shida au piga Simu +255 753 537 7116 au +255 688 787 828 Karibu tufanye biashara sharti la Malipo ni kulipa kwa Akaunti bank tukiwa tumeelewana bei na Malipo lazima yaingizwe na kuthibitishwa
SawaFala kwel vyumba v3 75..mil
Peleka uboya fb
Fala kwel vyumba v3 75..mil
Peleka uboya fb
Soma hapa halafu ona nani kaanza kujivunjia heshima. Huyu umemuita choko wewe ndio basha wake? Au kuna kakutukana?Huoni kama hiyo nyumba ni mpya? Na mtu akitaka kununua si anafika nyumba ilipo anaiona?
Huo uchoko unaoleta ww
Hailipi mzee30ml vipi?
Mkuu hiyo nyumba imejengwa na ikaanza kutumika halafu ndio inauzwa,mimi pia nina nyumba tabata maeneo ya highland hall,lakini ukweli ni kwamba tabata baracuda mpaka kushuka mitaa ya kwa wagumu nyumba zinaweza kubomolewa muda wowote,hebu piga picha nyumba nzima kwa nje ili uondeoe utata na acha kupanic kuwa mpole maana kila biashara ina changamotoni kweli hana pesa analeta porojo tu
Kila mtu yupo makini, mwenye hii nyumba nae ana akili kanunua hapa kajenga nyumba anauza
Pangekuwa kuna utata asiwekeza pesa zake nyingi
Sawa nitapiga picha, hii nyumba haipo wagumu ipo huku maeneo ya mnarani huku maduka mawiliMkuu hiyo nyumba imejengwa na ikaanza kutumika halafu ndio inauzwa,mimi pia nina nyumba tabata maeneo ya highland hall,lakini ukweli ni kwamba tabata baracuda mpaka kushuka mitaa ya kwa wagumu nyumba zinaweza kubomolewa muda wowote,hebu piga picha nyumba nzima kwa nje ili uondeoe utata na acha kupanic kuwa mpole maana kila biashara ina changamoto
Ndugu umeniita mm tapeli ukaniita mm jizi na sasa unaniita mm jambaziStyle za kijambazi
usishangae, muuzaji shogaMbona una majibu mabovu namna hii?