Sehemu kubwa kiasi tambarare inakinyumba cha vyumba 2 nachoo yombo kwaalbowa Barbara yalami naumeme nguzo IPO uwajani bei mill 14 Simu 0712690760
Sehemu kubwa kiasi tambarare inakinyumba cha vyumba 2 nachoo yombo kwaalbowa Barbara yalami naumeme nguzo IPO uwajani bei mill 14 Simu 0712690760
Mkuu rekebisha Heading basi Kiswahili Lugha Yetu Nyumba inauzwa Hataka? au Haraka!Sehemu kubwa kiasi tambarare inakinyumba cha vyumba 2 nachoo yombo kwaalbowa Barbara yalami naumeme nguzo IPO uwajani bei mill 14 Simu 0712690760
Muuzaji hayuko serious. Response kibao mwenyewe kaingia mitini! Mara nyingi watu wa namna wanakuwaga madalali...
Ana haraka hata neno haraka kakosea na kuita hataka maana herufi t ipo karibu na r!!!!Ni kweli una haraka sana ya kuuza nyumba,
haraka hii bila tangazo kueleweka ni sawa na bure,
Tulia pangilia vizuri maneno yako ili hiyo haraka iweze kutimia otherwise utakuwa umepoteza muda mwingi bila +ve response!