Nimekuelewa ila sasa hata nyie wenye m mkikosea lazima tuwaeleze (hiyo herufi yenye uwekundu haikutakiwa kuwepo) na kwenye Blue ilitakiwa kuwepo-ndo maana unaambiwa una haraka. Isije nikakutokea ikakushinda kwa haraka zako- Vivian saidia shosti.Asante kwa wale wachambuzi wa lugha wenye k ukosoa na wasio navyakusema wakajikuta wameropoka tu asanten HISHAUZWA