Kama ni miguu basi mlango wa nyumba unatizamana na mandela roadHuo umbali wa dak 3 ni kwakutumia usafiri gani?ndege,gari,pikpiki au kwa miguu?
Me hayo tu swala la picha nimewaachia wengine wakuulize
Laki 1 na nusu tuongee bei mkuuNyumba ipo Ubungo Riverside umbali wa dk 3 kutoka barabara ya Mandela. Ina vyumba 2 , sebule, Veranda na choo cha ndani. Ina uzio Umeme na maji utashare na watu 2. Inahitajika kodi ya miezi 2 kwanza kumalizia mwaka.
Hakuna dalali.
jaribu kwingine plslaki 2 kwa luku na maji ya kushare sio fair..
niwekee luku yangu.. nilipe fasta
hapanaLaki 1 na nusu tuongee bei mkuu
....Umeshaambiwa dakika tatu from Mandela highway, kila gari likipita lazima ulisikieNahitaji nyumba lakini isiwe sehemu ya kelele
Shida ninayoiona hapa ni moja tu, hiyo nyumba haipangishwi na mwenye nyumba bali inapangishwa na mpangaji, yeye ameng'ang'ania tu arudishe kodi yake ya miezi miwili ili aondoke jambo ambalo litakuwa gumu kwa usawa huu wa uncle Magu
Endelea kutafuta mkuu, lakini bora utwambie unakimbia nini huko
Kwani hata nikiwa mpangaji kuna shida gani kwani kuna mtu atalazimishwa kulipa bila ya kuina ngumba husika?. tatizo bado unaishi kwa babako ndo mana hujui gharama za kupanga. waachie wenye shida we endelea kula jasho la babako
Wanajuana.Acha jazba
katoa maoni yake kama raia mwingine yeyote
au mnajuana?
Akiweka tu picha nitawaambia who the owner is.Ivi suala la kuweka picha nalo linahitaji kukumbushwa.
Njoo nikupe tabata Kinyerezi.Ina vyumba viwili.sebule.choo na bafu na jiko.umeme na maji sio vya kushare.kodi 150000 kwa mwenziHata kama utakuwa na nyingine mbezi au kimara niambie lakini kwa hayo maeneo isizidi 100,000/= mpaka 150,000/= tu ndio level yangu
Njoo pm mkuuNjoo nikupe tabata Kinyerezi.Ina vyumba viwili.sebule.choo na bafu na jiko.umeme na maji sio vya kushare.kodi 150000 kwa mwenzi