Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

Shida ninayoiona hapa ni moja tu, hiyo nyumba haipangishwi na mwenye nyumba bali inapangishwa na mpangaji, yeye ameng'ang'ania tu arudishe kodi yake ya miezi miwili ili aondoke jambo ambalo litakuwa gumu kwa usawa huu wa uncle Magu


Endelea kutafuta mkuu, lakini bora utwambie unakimbia nini huko
Anakimbia mateja, jamaa hawafai ikifika mida ya wanga tu wanakuja kupekenyua dirisha
 
Back
Top Bottom