Nyumba inapangishwa Tsh.200,000 kwa mwezi

Ajib

Member
Nov 4, 2017
13
3
Nyumba ipo Ubungo Riverside umbali wa dk 3 kutoka barabara ya Mandela. Ina vyumba 2 , sebule, Veranda na choo cha ndani. Ina uzio Umeme na maji utashare na watu 2. Inahitajika kodi ya miezi 2 kwanza kumalizia mwaka.
Hakuna dalali.
 
laki 2 kwa luku na maji ya kushare sio fair..

niwekee luku yangu.. nilipe fasta
 
Nyumba ipo Ubungo Riverside umbali wa dk 3 kutoka barabara ya Mandela. Ina vyumba 2 , sebule, Veranda na choo cha ndani. Ina uzio Umeme na maji utashare na watu 2. Inahitajika kodi ya miezi 2 kwanza kumalizia mwaka.
Hakuna dalali.
Laki 1 na nusu tuongee bei mkuu
 
Hata kama utakuwa na nyingine mbezi au kimara niambie lakini kwa hayo maeneo isizidi 100,000/= mpaka 150,000/= tu ndio level yangu
 
Shida ninayoiona hapa ni moja tu, hiyo nyumba haipangishwi na mwenye nyumba bali inapangishwa na mpangaji, yeye ameng'ang'ania tu arudishe kodi yake ya miezi miwili ili aondoke jambo ambalo litakuwa gumu kwa usawa huu wa uncle Magu

Endelea kutafuta mkuu, lakini bora utwambie unakimbia nini huko
 
Kwani hata nikiwa mpangaji kuna shida gani kwani kuna mtu atalazimishwa kulipa bila ya kuina ngumba husika?. tatizo bado unaishi kwa babako ndo mana hujui gharama za kupanga. waachie wenye shida we endelea kula jasho la babako
 
Acha jazba
katoa maoni yake kama raia mwingine yeyote
au mnajuana?
 
Hata kama utakuwa na nyingine mbezi au kimara niambie lakini kwa hayo maeneo isizidi 100,000/= mpaka 150,000/= tu ndio level yangu
Njoo nikupe tabata Kinyerezi.Ina vyumba viwili.sebule.choo na bafu na jiko.umeme na maji sio vya kushare.kodi 150000 kwa mwenzi
 
Back
Top Bottom