Wananchi wakichoma nyumba, mahakama, magari, ofisi na kuharibu miundombinu mnashangilia tena kuhamasisha juu kuwa waendelee kuchoma. Ila ikisemwa polisi wamechoma mnawaandama polisi na kuwalaani kwa nguvu zote kana kwamba wakati nyumba inachomwa mlikuwa mnashuhudia na kuhakikisha kuwa kweli aliyechoma ni polisi.
Kazi ya jeshi la polisi ni kulunda usalama wa ria na mali zao. Wakigeuka kuwa sio walinzi tena wa mali za wananchi nani atafanya kazi hiyi?
Ilikuwa ni jukumu lao kuhakikisha wanachiwenye hasira kali hawafanyi matendo kama hayo. Usituletee habari ya mtu akila samaki sawa ila samaki akila mtu nongwa. That is nature.
Sitaki kuamini kama Askar we2 hawana Maadili vp mbna hauzungumzii nyumba za askari za uraiani zilizochomwa Nyambafu kabsa